Recent content by mduirwa

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada yangu tecno haionyeshi mafail

    simu yangu haionyeshi mafail ukiiwasha inaleta maandishi yafuatayo "Hi there" halafu chini yake START
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, maumivu ya kifua

    na kipindi cha barid hasa usiku nd kinauma xana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, maumivu ya kifua

    kifua kuuma wakati huo kukohoa sikohoi na maumivu huwa nayasikia pindi nikiwa nimekaa nimetulia lakini wakati na kazi au busy huwa siyasikia na titi la kuxhoto huwa panauma na mara pengine mkono wa kuxhoto na ukikandamiza kifua kwa nguvu kinauma. tafadhar anayejua dawa ama aina ya ugonjwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo gani husababisha tumbo kuuma baada ya kufanya mapenzi?

    Naombeni msaada, ni kwa nini tumbo linauma baada ya kufanya mapenzi na je tiba yake ni nini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jino lako linakusumbua!

    daaa me nipo dodoma
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jino lako linakusumbua!

    mwenye kujua dawa nzuri ya jino anisaidie maana linauma xana
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tecno H5 nikiwasha Data inadownload Mafaili yenyewe

    simu yangu nikiwesha data inakuwa inajidownload mafile yenyewe na mengine hutokea kwenye screan kama yoyogame na mengine mwenye uelewa anisaidie
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku hack simu ya mkononi

    kama ipo namna ndo mfunguke sasa ili tupate maujuzi na sisi, sio mnasema ipo alafu hamuelekezi jinsi ya kufanya
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku hack simu ya mkononi

    hamna kitu kama hicho
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuchukua screenshot

    kwa watu wa tecno inakuwaje hapo
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tecno yangu H5 imecollapse launcher, mwenye uelewa anasaidie

    maelezo mazuri but bado nashindwa jinsi ya kufanya
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tecno yangu H5 imecollapse launcher, mwenye uelewa anasaidie

    nikiiwasha hakun hata faili moja linaloonekana zaidi inaniandikia "unfortunately, launcher has collapsed" so hakun zaid kinachoendelea na hayo maneno hayatoki kwenye screen
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tecno yangu H5 imecollapse launcher, mwenye uelewa anasaidie

    ndio nlikuwa nimeiroot
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tecno yangu H5 imecollapse launcher, mwenye uelewa anasaidie

    mwenye uelewa jamani maana haifanyi kazi yoyote na nimejaribu kuiflash lakini bado tu inakataa
Back
Top Bottom