Tecno yangu H5 imecollapse launcher, mwenye uelewa anasaidie

Tecno yangu H5 imecollapse launcher, mwenye uelewa anasaidie

mduirwa

Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
35
Reaction score
12
mwenye uelewa jamani maana haifanyi kazi yoyote na nimejaribu kuiflash lakini bado tu inakataa
 
jaribu kufanya factory hard reset . . alaf je simu ilikuwa rooted?
 
umeflash? kama umeflash laiuncher ni kitu kidogo ilitakiwa irudi. hebu eka maelezo zaidi ikiwaka inakuaje ilikuwaje ikaanza hivyo nk
 
umeflash? kama umeflash laiuncher ni kitu kidogo ilitakiwa irudi. hebu eka maelezo zaidi ikiwaka inakuaje ilikuwaje ikaanza hivyo nk

nikiiwasha hakun hata faili moja linaloonekana zaidi inaniandikia "unfortunately, launcher has collapsed" so hakun zaid kinachoendelea na hayo maneno hayatoki kwenye screen
 
holding the Vol +(up) Button then the Power Button.

-Use the Volume +(up) to Navigate to Recovery Mode and Press the Vol – (down) button to select…

-Tab the Power Button once to get the options… Use the Vol – (Down) Button to Navigate to Wipe Data/Factory Reset.. Use the Vol + (Up) Button to Select.. Use the Vol – (Down) Button to Navigate to Yes – delete all user data.. Use the Vol + (Up) Button to Select..

-Navigate to Reboot Phone.. Then Wait because it takes sometime to boot for the First Time
Remember to switch off before this process
 
maelezo mazuri but bado nashindwa jinsi ya kufanya
 
Zima simu bonyeza volume up na power kwa pamoja achia power endelea kushikilia volume up
 
mwenye uelewa jamani maana haifanyi kazi yoyote na nimejaribu kuiflash lakini bado tu inakataa

Aiseee.....pole sana Mkuu ....znazngua H 5 tena rooted!!lakini uliinstall CWM?????Kama ndivyo jarbu kutafta Launcher in Zip file afu install ikiwa kwenye Fast boot.nadhani itawork out
 
huawei H5 kuna zingine MTK na zingine SPD hivyo kama SPD inabidi utumie box kufanya hardreset kama MTK itaingia recovery
 
simu za tecno wana utani sana hawa jamaa, kuna mdada alinunua tecno mpya, cha ajabu haina dialer, ikabidi ni download playstore kwanza, kisha nikaipush to the system, sina hamu na tecno
 
ndio nlikuwa nimeiroot

mkuu labda kuna system files umefuta ndio hasara ya ku root.

isingekuwa hivyo kwa ku flash tu ingesaidia.
hapo mi sina ujanja tena ila siku nyingine usije root simu bila ulazima maana unaweza change kitu kwa bahati mbaya halafu ikala kwako ...pole.
 
Back
Top Bottom