Jino lako linakusumbua!

Jino lako linakusumbua!

mwenye kujua dawa nzuri ya jino anisaidie maana linauma xana

mkuu ninayo dawa ya kienyeji nitakupa bure kabisa, kwasasa nipo mwanza kama nawe upo huku tutafutane mkuu pole kwa maumivu
 
baada ya hapo daah nateseka mimi yani nishatoa meno ma wili na ili la tata ata miaka 23 bado
 
dawa ya jino plaiz na bisibisi.pale muhimbili.ina umaaaa
 
pole sn kaka,pia anza kuswaki kwa dawa inayoitwa SENSODYNE, kuanzia leo,mimi nilikuwa mhanga wa meno,nikang'oa meno sita,toka nimeanza kutumia dawa hiyo leo miaka mitano,sijasikia wala kuhisi maumivu ya meno,tumia hiyo kisha ulete mrejesho kesho apa janvini,Asante.
Ntaipata wapi hii mkuu? Bei jee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom