Recent content by mdudu

 1. mdudu

  Wakina nani wanaopima kina cha maji huko Dar?

  Alishakuwa mwanasiasa na Anafikili bado yupo awamu ya 5
 2. mdudu

  Yuko wapi Peter Lijualikali aliyekuwa Mbunge wa kilombero?

  Huyu pimbi alikuwa hajui hata miwani inavaliwaje.
 3. mdudu

  Iramba tuache unafiki - tusimfitini Dr. Mwigulu kwani bado ana nafasi ya kuisaidia Iramba

  Mleta uzi atakuwa Mataga,sijui anaongelea Iramba ipi? Hata aliyemtuma sijui Kama kichwani chake ni kizima.
 4. mdudu

  Sasa ni Dhahiri Mbowe ni Mwalimu wa siasa Tanzania

  Huyu pimbi alikuwa hajui hata miwani inafananaje?
 5. mdudu

  Kazi inapoendelea kila Rais anapohutubia Makamu na Waziri Mkuu nao wapo. Imekaaje hii?

  Inaonekana hao hawana kazi za kufanya, Ndiyo maana hata Jana Bungeni wabunge walikosa maswali ya papo kwa papo kwa waziri Mkuu.
 6. mdudu

  Ili tusipate hasara, Serikali ibadilishe Uwanja wa Ndege Chato 75% uwe wa Kijeshi

  Mbona hujasema na hizo hotel za mwendazake zifanyiwe nini? Maanazinageuka magofu muda so mlefu.
 7. mdudu

  News Alert: Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

  Mbona mliingilia mchakato wa mahakama kwa kumtoa jela Nusurat Hanje usiku wa manane?
 8. mdudu

  Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

  Muulize huyo sipika wako,akiondoka Leo bungeni au akimfata mwendazake ameacha Nini Cha kukumbukwa? Wananchi wa kongwa wanakunywa matope, Au wewe Kula kulala hupajui hata kongwa?
 9. mdudu

  Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

  Tume na Ndugai ni wahanga tu,wameachiwa mzigo na mwendazake,ili kuzihadaa jumuia ya kumataifa, Nusrat Hanje alikuwa Jela na hakuachiwa na mahakama,ni hakimu gani aliamlu atolewe Jela usiku wa manane?
 10. mdudu

  Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

  Tume na Ndugai ni wahanga tu,wameachiwa mzigo na mwendazake,ili kuzihadaa jumuia ya kumataifa, Nusrat Hanje alikuwa Jela na hakuachiwa na mahakama,ni hakimu gani aliamlu atolewe Jela usiku wa manane?
Top Bottom