Mimi ni mtumishi wa umma. Kura yangu siwezi kuipeleka kwa kiongozi dhalimu aliyenitesa kwa miaka mitano.
Nasema hadharani kwamba nitamchagua Tundu Lissu kwa maendeleo ya kweli.
Huyo dikteta akalime nyanya chungu huko Geita.
Meko ndo anakumbuka leo kwamba watumishi wa umma wanapaswa kupewa nyongeza ya mshahara.
Kiburi chote kimeisha. Watumishi wamemhakikishia kwamba hawahitaji nyongeza toka kwake bali wanataka wajazwe mapesa na rais ajaye ambaye ni Tundu Lissu.
Meko na ushamba na udhalimu wake akafie mbele huko.
Hakuna mgombea wa CDM aliyeshiriki kwenye uchaguzi huu haramu. Sema majina ya wagombea hao hayakuondolewa kwenye karatasi za kura kwa kuwa wagombea hao wachache waliteuliwa kwa sababu maalum (yaani ionekane kwamba CCM imetenda haki)
Hii serikali ya ni ya kisanii tu. Wanapenda kujimwambafy wawapo majukwaani ili kupata attention ya wananchi.
Nimepata taarifa toka kwa kigogo mmoja kwamba zile bilioni 40 zilizotangazwa kwa mbwembwe kwamba zikakamilishe malipo kwa wakulima wa korosho hazikupelekwa kama ilivyotamkwa, bali ni...
Miaka kadhaa huko nyuma, matukio kama haya tulikuwa tunayasikia kwenye vyombo vya habari yakiwa yametamalaki nchini Rwanda lakini leo hii yako sebuleni kwetu. Hivi Luna umuhimu wa kuendelea kuwa na kiongozi asiyejali utu kama Jiwe?
Hakuna mtanzania anayemhitaji Jiwe. Msijidanganye. Ni hero tuongozwe na Member au hata Joti kuliko huyu mbinafsi na katili asiye na huruma. 2020 Jiwe must go.
Hakuna mtanzania yeyote mwenye akili timamu anayempenda Jiwe. Kama mnabisha, mwambieni aruhusu mikutano ya viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa waende kuzungumza na wananchi kama afanyavyo yeye hata kwa siku moja tu halafu muone watanzania watakavyofunguka.
Mnapenda kumpamba kwa sifa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.