Recent content by Mdomomrefu

  1. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Njombe DC: Acheni utapeli na udhalimu lipeni watu stahiki zao

    Wewe mpumbavu umeulizia mtu wa ngapi? Leo Kafa pale shuleni. Unajikuta msomi kimwili kwa kuponda maandishi kumbe ni mjinga na mweupe spiritually hivi hujui Kwamba dhuluma haikubaliki popote pale
  2. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Njombe DC: Acheni utapeli na udhalimu lipeni watu stahiki zao

    Naona mnaendelea kuzungusha tu watu
  3. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mzozo wa Israel na Palestina

    Walipigwa huko middle east miaka ya nyuma nakulowea ulaya huku wakiacha sehemu ikikaliwa na watu wengine viza na viza hivyo baada ya kuulia na Adolf hitre wakarudi kwao na waliopo nao wanakaona kama ni kwao Kwa sababu ni vizazi vingi vimepita huyo ndio mgogoro
  4. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Njombe DC: Acheni utapeli na udhalimu lipeni watu stahiki zao

    Sawa najua na wewe unaweza kuwa ni mmoja wao ila naandika nikiwa na maumivu makali mno. Nasema hivi kitaeleweka tu simnajikuata miungu watu tutaona
  5. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Njombe DC: Acheni utapeli na udhalimu lipeni watu stahiki zao

    Mwaka na miezi nane sasa
  6. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Njombe DC: Acheni utapeli na udhalimu lipeni watu stahiki zao

    Wakuu ni hivi hii halmashauri ilichukua shule ya Mtwango secondary kinguvu na kuahidi kuwa itawalipa watumishi wa awali hivyo shule ikawa mali ya serikali rasmi. Sasa ni takribani ni miaka miwili halmashauri hii haijalipa chochote na imewageuka na kusema watumishi watalipwa na mwajiri wao...
  7. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    Samahani MKuu sikujua kuwa kwamba Kuna slow learners jf
  8. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    Mbunda wa zamani?
  9. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    Waliowahi kusoma mtwss aliekua headmaster wenu Mbunda amefariki dunia wanazika kesho jumatatu
  10. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    NDDT Ni kifupi cha Njombe District Development Trust
  11. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    Huyo Ni headmaster ambaye pia nae anapambania haki zake anaitwa mbunda D alipokea uhead master baada ya mbunda wa kwanza kustaafu
  12. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    Imetoa wengi Hadi wasanii akawemo marlaw
  13. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    Mbunda D aliachiwa kijiti hivyo ilibiidi abadilike na ndialiye ifikisha Hadi leo na alilipa madeni mengi aliyo yaacha Mr mbunda
  14. Mdomomrefu

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    Zama za Mr mbunda zilikwisha alishindwa kuendesha shule. Kijiti alipokea Mbunda D tangu 2013
Back
Top Bottom