Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

Waliowahi kusoma mtwss aliekua headmaster wenu Mbunda amefariki dunia wanazika kesho jumatatu
 
Waliowahi kusoma mtwss aliekua headmaster wenu Mbunda amefariki dunia wanazika kesho jumatatu
Rest in peace my former headmaster nilipita hapo kidato Cha nne miaka hiyo baada ya kufurushwa seminarini,,alikua na HILUX yake nyeupe akamsalimie Sana NYUDIKE
 
Huko nyuma iliitwa Mtwango Middle School nadhani ilikuwa mali ya serikali ya kikoloni au mission, wakaja NDDT wakaichukua, nadhani baadaye nao wameshindwa kuiendesha
.....Mtwango Middle School ilikuwa ya serikali....mie nimetokea hapo 1972 !
 
Aliyeleta mada kama ni mwalimu kwa uandishi huo anaonyesha kichwani hamna kitu kuandika tu shida kuendesha shule ndio ataweza?
 
Aliyeleta mada kama ni mwalimu kwa uandishi huo anaonyesha kichwani hamna kitu kuandika tu shida kuendesha shule ndio ataweza?
Samahani MKuu sikujua kuwa kwamba Kuna slow learners jf
 
Back
Top Bottom