Wizara ya mambo ya ndani inaingilia vip suala lá njaa.. Mbona hili suala sio lao.. Kila mtu afanye kazi yake... Wizara ya kilimo na chakula ndio iseme sio kisiasa.. Ifanye tafiti na kuhakiki.. Lisemwalo lipo bana...
Mwenye utaalam au uzoefu na hiki kilimo naomba msaada.. Ili kujua namna ya kulima, soko na faida zake. Nina heka moja nataka kupanda tu miti ya maparachichi kwa kisasa..
labda mtanisaidia kunielewesha, ni hivi...tunaongea sana kuhusu suala la muungano utafikiri ndio essence ya katiba mpya tunayoitaka, mosi. Pili, kiuhalisia watz sasa hatupendani yaan tunu zetu za udugu au tunu za taifa kama sage warioba alivyozitaja zimekufa, juzi juzi tu hapa tumeonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.