Recent content by Mdiakonia

  1. M

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    sasa mwekundu kwani ofis za chama makao makuu ni arusha..huoni hoja yako inakua nyepesi sana as if ya mtoto wa std 3
  2. M

    Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    hahaha yamekua hayo tena...kuua muue nyie leo useme tumemwaga damu sie..kubali tu bana katika hali ya kawaida bila kutumia nguvu kufikiri nyie ndo mlitupiga bomu kuvuruga uchaguzi kumbe mmeahirisha tu ttzo..watz wa leo wanajua ipi nyeupe na ipi nyeusi
  3. M

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    hali ni ngumu walifikiri ccm itatawala milele, but now situation inajionyesha wazi kuwa siyo
  4. M

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Nampongeza sana kijana kwa kujitambua nakuona kuwa yupo mahali ambapo hastahili...kwa mtu yeyeote makini kuwa katika mfumo wa chama hiki cha magamba, kunakufanya hata kama ni msafi nawe uonekane walewale..naomba wana cdm kuwapokea bila ya kinyongo lakini umakini utumike kuwakuza kwenye mwelekeo...
  5. M

    Dr. Willbroud Slaa on his TWITTER account today!

    Nadhani CDM wameamua kutumia busara kuupuuza hizo shutuma kwani hazina msingi wowote, CDM wapo mikoa ya kanda ya ziwa, mikoa ya kaskazini, wapo sasa nyanda za juu kusini ndo wana kwenda hivyo, always kuna starting point, ili waweze kuenea nchi yote na mimi naridhika na kasi iliyopo, watanzania...
  6. M

    Tumchangieni Mh Lema

    CCM hawasomi alama za nyakati, wanatafuta kuaibika tena, na wataaibika..CCMtumeichoka na hawana jipya la kuja nalo kwa wananchi, kwa uwezo wa Mungu CDM tutashinda tena kwa kishindo kuliko 2010
Back
Top Bottom