Dr. Willbroud Slaa on his TWITTER account today!

Status
Not open for further replies.
Upo Karatu, meru au Moshi? huko ndiko zipo highly demanded! Kwingine hamna mtu anataka kukisikia hicho chama

Moto umeshaunguza nyumba nzima wewe jidanganye kuwa chumbani kwako haujafika.
 
Upo Karatu, meru au Moshi? huko ndiko zipo highly demanded! Kwingine hamna mtu anataka kukisikia hicho chama

rejao bhana! Teh teh! Sounds so pathetic jamani! Hata km ngumu kumesa...jikadhe!
 
Hapana. Tupe Link, sina imani na hii, maana hata mimi kwenye page yake nimekwenda

jaribu kutembelea sio kutafuta cheap populality tu. Usiwe mvivu kutafuta habari. Ila ni mawazo yako tu, ahsante kwa kuchangia.
 
A way forward ni kuwa kitu kimoja CDM kuna shutma zinaizonga pengine ni propaganda tu za wenye kuchukia maendeleo ya CDM lakini hakuna hata siku moja CDM imekanusha au kutolea maamuzi ambayo yatawafanya watu wapuuze shutma hizo.
1. Kuwa CDM ni chama cha kikanda na hata wabunge wake wengi ni wa kutoka kanda fulani.
2. CDM ina mkono wa kanisa (hapa nakumbuka shutma dhidi ya CUF wao walikuwa wanazikanusha ila kwa bahatio mbaya au sijapata kusikia popote CDM wakikanusha hili)

Mabadiliko yatapatikana watanzania wakiwa wamoja bila kujali kanda zao/koo zao wala dini zao je CDM wapo tayari kuonyesha njia?

Mwanzo wa kitu huanzia location fulani, hata CHADEMA kilianzia kaskazini au waasisi wake wametoka kaskazini na wangeweza toka kusini au mashariki tatizo lako nini hapo. Basi chama kikianzishwa na watu wa kusini kitaitwa cha kanda ya kusini , Mashariki n.k? Na kama ni cha kikanda je kuna mtu toka kanda nyingine alishazuiliwa kuwa member simply haruhusiwi?. Hiv Mch. Msigwa , Sugu, Wenje, Mnyika woote ni wa kanda ya kaskazini? Hv Halima Mdee, zitto Zuberi Kabwe na wale wajumbe wa zenji ni Wakristo. Mkuu some time kama great thinker unatakiwa ufanye utafiti mwenyewe na siyo ku-support watu wa vijiweni; ukweli unatakiwa uwape ukweli na si wewe nawe kujichanganya na ujinga wakati we una maujanja na uwezo wa kupangua ujinga.
 
Upo Karatu, meru au Moshi? huko ndiko zipo highly demanded! Kwingine hamna mtu anataka kukisikia hicho chama
Acha kuidanganya nafsi yako.Niko njombe jirani wa madam spika nazihitaji sana na kwa wingi. Nina wanafunzi zaidi ya mia sita pia wanazihitaji.
 
salute kwako kiongozi,mtu umepewa akili,ufaham na utashi stil hata analysis ndogo kama hz mtu anashindwa kufanya...eti anasubiri chama kikanushe,what for.?
 
Upo Karatu, meru au Moshi? huko ndiko zipo highly demanded! Kwingine hamna mtu anataka kukisikia hicho chama

Habari ya asubuhi rejao, Umeamka, Sasa tunakuandalia dozi yaa mkono wa kushoto. Ila kabla ya dozi umesahau kiwira, songea mbeya, iringa, mwanza ubungo na kawe. Amka polepole.
 
Mwanzo wa kitu huanzia location fulani, hata CHADEMA kilianzia kaskazini au waasisi wake wametoka kaskazini na wangeweza toka kusini au mashariki tatizo lako nini hapo. Basi chama kikianzishwa na watu wa kusini kitaitwa cha kanda ya kusini , Mashariki n.k? Na kama ni cha kikanda je kuna mtu toka kanda nyingine alishazuiliwa kuwa member simply haruhusiwi?. Hiv Mch. Msigwa , Sugu, Wenje, Mnyika woote ni wa kanda ya kaskazini? Hv Halima Mdee, zitto Zuberi Kabwe na wale wajumbe wa zenji ni Wakristo. Mkuu some time kama great thinker unatakiwa ufanye utafiti mwenyewe na siyo ku-support watu wa vijiweni; ukweli unatakiwa uwape ukweli na si wewe nawe kujichanganya na ujinga wakati we una maujanja na uwezo wa kupangua ujinga.

Soma vizuri ujumbe wangu utaelewa sijakusudia mimi binafsi nimezungumzia kwa ujumla! ni kweli wenje na kina sugu hawatoki kaskazini ni kweli Tundu Lisu hatoki Kaskazini lakini ni vipi CDM wanajipanga kupangua hizi hoja? Hilo ndio lilikuwa swali langu au wanakaa kimya wakidhani watz wote ni magreat thinkers? Halafu nani kakuambia Halima Mdee ni mwislamu?
 
A way forward ni kuwa kitu kimoja CDM kuna shutma zinaizonga pengine ni propaganda tu za wenye kuchukia maendeleo ya CDM lakini hakuna hata siku moja CDM imekanusha au kutolea maamuzi ambayo yatawafanya watu wapuuze shutma hizo.
1. Kuwa CDM ni chama cha kikanda na hata wabunge wake wengi ni wa kutoka kanda fulani.
2. CDM ina mkono wa kanisa (hapa nakumbuka shutma dhidi ya CUF wao walikuwa wanazikanusha ila kwa bahatio mbaya au sijapata kusikia popote CDM wakikanusha hili)

Mabadiliko yatapatikana watanzania wakiwa wamoja bila kujali kanda zao/koo zao wala dini zao je CDM wapo tayari kuonyesha njia?

moja ya watu mnaonyesha udini,ukabila,ukanda wewe umo na unapoongea kitu jichunguze
 
Habari ya asubuhi rejao, Umeamka, Sasa tunakuandalia dozi yaa mkono wa kushoto. Ila kabla ya dozi umesahau kiwira, songea mbeya, iringa, mwanza ubungo na kawe. Amka polepole.
Bado kidogo na mbunge wa jimbo la hapo kwenye redi atapoteza kiti chake...
 
Acha kuidanganya nafsi yako.Niko njombe jirani wa madam spika nazihitaji sana na kwa wingi. Nina wanafunzi zaidi ya mia sita pia wanazihitaji.
wewe mbona hueleweki? mara wewe ni mwalimu wa mtwara, mara kigoma, sasa hivi upo Njombe!!
 
Nadhani CDM wameamua kutumia busara kuupuuza hizo shutuma kwani hazina msingi wowote, CDM wapo mikoa ya kanda ya ziwa, mikoa ya kaskazini, wapo sasa nyanda za juu kusini ndo wana kwenda hivyo, always kuna starting point, ili waweze kuenea nchi yote na mimi naridhika na kasi iliyopo, watanzania wanelewa sasa.
 
CCM mnajitekenya alafu mnacheka wenyewe.
Lema ni mbunge wa kudumu Arusha mjini, mtake msitake.
Lema alipata kura 2010 kwa sababu watu walikuwa hawamfamu. Kwa kipindi hiki cha mwaka na nusu watu wamemfahmu Lema ni mtu wa aina gani. Wameona matatizo aliyowaletea, vurugu za kila siku na kurudi nyuma kwa maendeleo ya Jimbo la Arusha mjini. Kwa sasa hawawezi kurudia tena kosa walilolifanya 2010. Watu wengi sana wamefurahia uamuzi wa maahakama...at last wameondoka na matatizo!!
 
Tehe tehe tehe tehe! Kwi kwi kwi kwi kwi. Hapa arusha mjini CCM hamna chenu Rejao, hata kama chadema watasimamisha jiwe litapita kwa kishindo! Tunawasubiri kwa hamu kubwa! Natamani uchaguzi ungekuwa kesho!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom