Akili zako ndipo zinapoishia kwani wakimbizi hao mpaka uje useme urafiki wa maslahi ama kweli nimeamini kuna waliosoma kuelewa na waliosoma na kuelimika sasa hao watu watatu wakiwa marafiki inatuadhiri vipi sisi wa Tanganyika zaidi ya milioni 45? Ficha ujinga wako
Kuna utafiti ulifanyika kwenye nchi zenye uelewa mpana wa kifikra ukaonyesha Tanzania inaongoza kwa kuwa na watu wanafiki aisee jamaa hawakukosea kabisa hata kwenye Biblia imeandikwa Heri kuishi na mchawi kuliko mnafiki mpo wengi sana
Halikusombwa gari lilibaki pale pale mpaka maji yakapungua kabisa hakuna jina lilipitalo majina yote kama jina la YESU KRISTO ukilishika na kumwamini jina lake linaweza hamisha milima imani ndugu
Kweendraaaa na u.s.a wako hizo gari zenyewe ukiingia ndani zingine zina matobo mpaka unaona lami mimi huwa nawashaangaa sana Traffic wa Tanzania akishakamata gari yeye anasimama nje kuangalia ndani hawaingii yaani ni balaa huku kwetu bado sana
Naweza kuamini haya Mshana junior kuna jamaa alinisimulia kama una mtoto mchanga na mtaani kwako kumezungukwa na wanga basi chumbani kwako usikose ndoo yenye maji safi halafu iwe wazi ila kila siku uwe unayabadilisha nilichoka
Asante mdau ningependa kuuliza je kama eneo mlilofunga mita pale mlipopitisha mstimu wenu mvua ikinyesha kubwa huwa panatiririsha maji ila miter ipo kwenye kibox je inaweza leta short?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.