Recent content by mdazi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Watu wa mbeya sio watu walioproud na mkoa wao bro hata in real life tu unaona tofauti na watu wa arusha au mwanza Watu wa mbeya hawaupiganii mkoa wao kuna msemo unasema charity begins at home 🏡 Arusha wamepata uwanja mdogo wa ndege juzi lakini mitandaoni kila siku habari ni hiyo hiyo Mbeya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

    Kiukweli kabisa Arusha pazuri kuliko Goma Goma Kimajengo ni kama moshi au iringa tafuta video za moshi au iringa uone zilivojengeka na mpangilio ila Goma ni kubwa na ina watu wengi mno
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

    Andiko limekamilika 💯
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bia za moshi na Arusha ni tamu kuliko bia za mikoa mingine?

    Maji ya Arusha na Kilimanjaro yanaweza kuwa na fluoride nyingi inayoozesha meno lakini ndio maji matamu kuliko yote kama hujawah kuishi Arusha unaweza usielewe ila ukifika mikoa mingine utagundua Haina taste kama ya Arusha na sio bia tu hata coca ya Arusha au Kilimanjaro ni tamu kuliko ya dar au...
  5. M

  6. M

    JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Sehemu ya Arusha CBD🔥🔥 https://youtu.be/N9K0h7ju3Lg?si=KCZLcRcpsVqB8IW0
  7. M

    JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Arusha haipoi kabisa🔥🔥 https://www.instagram.com/reel/DNVngjBMGio/?igsh=bHJoMGQ5OHBjcW5v https://youtu.be/5Ys3WrWRpYw?si=9wfOrgNaKBkF45BQ
  8. M

    JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Na hilo eneo ni la mji mpya wa burka nje kidogo ya mji ni jirani na uwanja mpya wa afcon na eneo linaitwa afcon city ambalo limeshapimwa lote na km 2 tu kufika airport unafika dar au nairobi Oya Arusha ni Switzerland kabisa hii😂😂ukizoom hiyo video nyumba zote ni angalau ghorofa moja
  9. M

    JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Hawa watu wa ziwani wanatafuta furaha wakiangalia Zanzibar sa hivi imekua ya moto, Dodoma ndio Kila mradi upo huko wanatafuta pa kujifichia wanaona wajaribu kwa Arusha wakiangalia utalii na mikutano nayo umerudi wanapotea kwenye comment Mwanza ni level ya Mbeya tena kwenye Gdp Bado Mbeya iko juu 😀😀
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

    Rudi tena Arusha ukajionee mkuu achana na stori za vijiweni Uchumi wa Arusha umekua maradufu watalii Sasa hivi wamemiminika mno
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

    Tafta nauli ngosha uje kutembea chuga uache akili mgando hiyo 😂
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi haya tunayoyasikia kuhusu Arusha ni kweli au uzushi?!!! Inashangaza na kutisha

    Arusha ina media coverage kubwa lakini content za Arusha zinatrend zaidi hivyo huwa kivutio kwa waandishi hasa watu wa Arusha wanavoongea lafudhi lakini Arusha pametulia kuliko unavodhani juzi imetoka Mikoa yenye matukio mengi Wala sio Arusha so hizo ni media tu ukiishi Arusha ni tulivu mno...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Sawa mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Karibu tena kiongozi
Back
Top Bottom