Recent content by Mdau Mkuu

  1. Mdau Mkuu

    EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    Twamitakia uchaguzi mwema
  2. Mdau Mkuu

    Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?

    Hata walipokuja kipindi cha Utumwa hapa Africa, mwarabu alionesha jinsi alivyo maana alimchapa mwafrika kwa bakora na kumtumikisha sana. Poleni sana wanafamilia mliopatwa na hili janga.
  3. Mdau Mkuu

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kwakoo huko huko ndo pazuri
  4. Mdau Mkuu

    Utampa???

    Kama kaniomba ntampa maana mtoto akiomba wembe mpe ......
  5. Mdau Mkuu

    Moro Town: Mji unaoongoza kwa wajanja Tanzania

    Inaonekana ilikuwa raha wengine kama mie wala sijawahi kukanyanga Moro ila inaonekana Moro ilikuwa tamu sana. Natamani ningekuwa Moro nijionee mwenyewe kipindi hicho
  6. Mdau Mkuu

    Harmonize ajitwalia Jacky Wolper, new couple in town

    Ila waswahili wanasema "Gari lililotembea umbali mrefu ndo linathibitisha ubora wa engine yake" Kijana mwache apambane kwa kweli
  7. Mdau Mkuu

    Nimetukanwa tusi jipya leo, sijaelewa maana yake

    Ila inaonekana ni kama umelipenda hilo jina Kinyambe mkubwa weeee!alah
  8. Mdau Mkuu

    Udhalilishaji wa RC wa Mwanza: Unapokea mshahara, unakula na mkeo halafu mimi nakufanyia kazi zako

    Haha haha haha haha haha kwa kweli shemeji bora awe na wasiwasi maana kwa hii style ya kutumbuana majipu mtu unaweza ukaumbuka mjini. Nashukuru kwa ufafanuzi wako nimeelewa. Unajua nlichoona ni kuwa viongozi wengi siku hizi wanacheza na vyombo vya habari kupata umaarufu au kutaka kuonekana...
  9. Mdau Mkuu

    Udhalilishaji wa RC wa Mwanza: Unapokea mshahara, unakula na mkeo halafu mimi nakufanyia kazi zako

    OKW BOBAN SUNZU samahani kidogo nisaidie ilikuwaje kwani mi sijaelewa huyu aliyetukanwa alikosa nini au alifanya kosa gani? Tafadhari nihabarishe Mdau wangu
  10. Mdau Mkuu

    Giggy Money aja na SUPU

    Kweli chura kasingiziwa ila hii supu ndo mjipu wenyewe hakika lazima utumbuliwe
  11. Mdau Mkuu

    TRA imetoa wapi mamlaka ya kugawa Sukari bure?

    1. Wafanyabishara nao wamepata wapi mamlaka ya kuficha sukari? 2. Je ni kifungu gani cha sheria kinamruhusu mfanya biashara kuficha sukari? Yaani mie ndo hapa najishangaaga sijielewi au nalazimisha kutokuelewa. Kable sijajibu swali lako nakwama katika maswali yangu hayo
Back
Top Bottom