Recent content by MDAU JR

  1. MDAU JR

    Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

    Sorry mkuu hii ni kwenye simu ama laptop?
  2. MDAU JR

    Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

    Nimeona ni nzuri, natazama game yote hasa ukiwa na 4G inatulia hadi filimbi ya mwisho, safi sana, ahsante mkuu.
  3. MDAU JR

    Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

    Asante mkuu, naomba ambayo Ni nafuu kidogo Kwa usalama Wa bando
  4. MDAU JR

    Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

    Umeupiga mwingi, shukran nyingi kwako mwamba
  5. MDAU JR

    Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

    Asante mkuu ngoja nifuate muongozo wako
  6. MDAU JR

    Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

    Habari wakuu! Tafadhali naomba Msaada kutoka Kwa yeyote ili nipate application yoyote ambayo nita install kwenye simu ili niweze kuwa Na stream live games za soccer nikiwa mbali Na tv. Hii ni nje ya Azam max, hiyo ninayo tayari. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  7. MDAU JR

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa muda
  8. MDAU JR

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Hellow doctor! Ndg yangu anasumbuliwa na fangasi ukeni kwa muda mrefu, ametumia anibiotics mbalimbali na dawa nyingine nyingi zikiwemo za kuinset ukeni lkn hajapata nafuu kwa maana ugonjwa huwa unaondoka na baada ya muda unarejea. Na hili limewahi hata kusababisha ujauzito kutoka. Naomba...
  9. MDAU JR

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Me nilipima na kuambiwa Nina vidonda vya tumbo
  10. MDAU JR

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Hellow wadau! Ndg yangu anasumbuliwa na fangasi ukeni kwa muda mrefu, ametumia anibiotics mbalimbali na dawa nyingine nyingi zikiwemo za kuinset ukeni lakini hajapata nafuu kwa maana ugonjwa huwa unaondoka na baada ya muda unarejea. Na hili limewahi hata kusababisha ujauzito kutoka. Naomba...
  11. MDAU JR

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Hellow mtaalamu. Ndg yangu anasumbuliwa na fangasi ukeni kwa muda mrefu, ametumia anibiotics mbalimbali zikiwemo za kuinset ukeni lkn hajapata nafuu kwa maana ugonjwa huwa unaondoka na baada ya muda unarejea. Na hili limewahi hata kusababisha ujauzito kutoka. Naomba msaada ni wapi tunaweza pata...
  12. MDAU JR

    Hatimaye Isidingo imefika tamati baada ya miaka 21

    Katika miaka ya 2003- 2006 ksma sikosei Kuna character alikuwa anatumia jina LA LETHI MATHABANE alifariki kwa HIV lakini mwingine alikuwa akiemda kwa jina LA Nandipha alikuwa akicheza kama muathirika NA,mupnekano wake NA namna alivyokuwa akiigiza unaweza amini lkn kumbe haikuwa hivyo bali...
  13. MDAU JR

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mwenye link please!
Back
Top Bottom