Recent content by Mdalanjoi

  1. M

    Diamond kuachia kazi yake aliyofanya na msanii Future kutoka Marekani

    Watz roho mbaya halafu wanapenda kujifanya wanajua kumbe hawajui lolote, Diamond ukienda nchi yeyote ya kiafrica hakuna asiyemjua, wanaimba nyimbo zake na kucheza kuliko sisi watz, juzi nilikuwa kongo magari ya matangazo yanapita yanapiga nyimbo za Diamond tuu na watu wanacheza mbaya, huko...
  2. M

    Zari Arusha Dongo gizani

    Hatumii nguvu hata kidogo, acheni utani Zari anapendwa balaa na Dai.....wanawake ambao hawajawahi pendwa hivyo lazima iwaume
  3. M

    Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

    Inamuhusu nini? Kwani clouds si walikuwa wanajikomba wenyewe, kweli dai ni bonge la superstar akionekana kama yupo upande flani hivi watu wanapata vichaaa
  4. M

    Msaada: Ilipo Mahakama ya Mwanzo wilaya ya Kinondoni?

    Wilaya ya kinondoni ina mahakama za mwanzo tano; sinza, kawe, magomeni, kimara na kinondoni yenyewe sasa unayoitaka hapo ni ipi?
  5. M

    Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

    Hamna lolote mnachochea ili atumbuliwe, mumchukue mkamtakase sijui huwa mnawatakasa na nini vile...........mtaanza kutuaminisha tena kwamba ameonewa na ana vyeti mpaka vya university........bado sijasahau ya lowasa
  6. M

    Mange Kimambi ni Raia wa Tanzania au ashachukua uraia wa Marekani?

    Mama yake alikuwa housegirl wa mzee kimambi, baada ya kupata mimba ya karumange alipotelea uzaramoni, aliyemshawishi mzee kimambi akamchukue karumange huko uzaramoni ni rafiki yake mzee Dimando.....alichukuliwa akiwa na miaka 12, baada ya hapo alisomeshwa huko zimbabwe, chuo alisoma online...
  7. M

    Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana

    Acha wivu wa kike, dai ana uwezo mkubwa kukushinda, ni kijana mdogo katoka kwenye zero to hero, from tandale mpaka sasa karibu dunia nzima inamjua..... halafu unasema uwezo wa kufikiri ni nini?.....
  8. M

    Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

    Ni loser........hana lolote....habari zenyewe huwa anatumiwa na maloser wenzake.....haeleweki anasimamia upande upi.... wakati wa uchaguzi alimtetea sana rais.... alimpa kila sifa...nadhani alijua JPM akiingia akiwa rais atapata chochote.......alimtukana lowasa na upinzani matusi...
  9. M

    Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

    Nyie ndio washabiki maandazi msiojielewa, mond alianzaje hilo bifu? Na aliyezima mic mombasa sio ssalam tena ni babu tale? Ukweli ni kwamba huyo kibakuli anajua kwamba bifu likiisha kati yake na mond atapotea kabisaa hatasikika tena kama alivyokuwa amepotea, yeye ndiye aliyeanzisha bifu na ndio...
  10. M

    Maneno ya Idriss Sultan Kwa Mrembo Jokate Mwegelo

    Hata huyo pia ni makombo kama issue ni watoto huyu unajua ametoa mimba ngapi?
  11. M

    Hivi mume wa Mange Kimambi anachepuka kweli??

    Mbona alikuwa anachepuka na shoga yake, na alibisha mpaka waliporusha picha zao..... hana cha ufbi wala ucia.... Tz ukitaka habari zozote unapata tuu, kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu...madaktari wao, lawyers wao, wanasiasa wao....na ndio hao ambao humtumia huyo mange hizo habari
  12. M

    Nimesikitishwa na aina hii ya usajili unaofanywa na Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe

    Hivi huko chadema huwa wanawatakasa na nini? Tutawashauri ccm watoe takataka zote mje kuzitakasa huko
  13. M

    Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

    Zari ana ubibi gani? Mwangalie tangu alipokuwa binti mdogo alikuwa anajitambua, na ndio sababu aliweza kuwa na ivan na kuwa na familia bora, japo zari sio bibi ila huyo wema atakapokuwa bibi atakuwa amechooka na unga....... we mtu una kashfa za kubwia unga, kampuni gani itakutaka?
Back
Top Bottom