Digital Home
Member
- Jul 31, 2016
- 13
- 2
Naomba kuelekezwa mahali/mtaa ilipo Mahakama ya Mwanzo wilaya ya Kinondoni.
Wilaya ya kinondoni ina mahakama za mwanzo tano; sinza, kawe, magomeni, kimara na kinondoni yenyewe sasa unayoitaka hapo ni ipi?Naomba kuelekezwa mahali/mtaa ilipo Mahakama ya Mwanzo wilaya ya Kinondoni.