Kuna watu niliwaambia Tundu Lissu hana uwezo wa kuwa kiongozi wa chama cha siasa! Anaweza kuongoza taasisi nyingine lakini sio ya kisiasa!
Nadhani sasa hivi watakua wameanza kunielewa!
Tundu Lissu ni mwanaharakati, ni mpambanaji!
Mtu mwenye sifa hizi hutawaliwa na hasira, visasi na malipizo. Ni maskini wa busara na hekima.
Mwanaharakati siku zote ni ngumu kukubali ushauri ulio kinyume na falsafa yake hata kama ushauri huo una manufaa.
Baba mwenye nyumba ana watoto kumi, anasema kati ya hao kumi ni sita pekee ndiyo wenye manufaa kwake, wanne waliobaki ni hasara.
Je hao wanne achukue hatua gani? Aendelee kuwalisha na kuwahudumia labda kuna siku watabadilika au awafukuze wakafie mbele ya safari?
Mpe ushauri baba mwenye nyumba.
Tundu Lissu ni mtu msomi, jasiri, mpambanaji kiufupi ni mwanaharakati lakini kuna kitu kimepungua kwake na hiki ndio kinamfanya akose sifa ya kuwa kiongozi mkuu, yaani mtu mwenye kuamua hatima ya kundi.....
Uongozi wa kundi au taasisi pamoja na mambo mengine, BUSARA na HEKIMA ni mambo muhimu...
Marehemu Moses Nnauye alikua swahiba mkubwa wa mzee Yusuph Makamba.
Leo January Makamba na Nape Nnauye wamepumzishwa benchi!
Je kuna uhusiano wowote katika hili?
Ni haki yake kikatiba kujiunga na chama anachokipenda ingawaje kwa mtazamo wangu huu haukua wakati muafaka kufanya hivyo!
Je ni kwa sababu ameukosa uenyekiti?
Je amenyimwa haki ya kukata rufaa na chama chake hivyo inaonekana hakuna demokrasia ndani ya chama chake?
Au ndio zile pesa...
Hakuna shida ya nani anamiliki
Jambo la muhimu ni kuangalia kama taifa tunanufaikaje na uwekezaji huo!
Kodi italipwa hivyo taifa linanufaika
Ajira kwa watanzania ndio la muhimu
Mazingira yatalindwa ili kuzuia uharibifu
Jamii zinazozunguka kunufaika na uwekezaji!
Tumpe muda mwekezaji kisha...
Maoni yangu kwa jambo hili.
Mh rais ana wasaidizi wengi sana kuanzia ngazi ya mtaa/kijiji mpaka huko taifa.
Suala hili angetafuta namna nzuri zaidi ya kuendana nalo iwapo anahitaji kufanya hivyo ila sio kwa njia hii anayotaka kuitumia maana itamchosha sana na haiwezi kuwa effective hasa...
Wasichana wa leo hawana mapenzi ya kweli, wanapenda pesa zaidi. Mtoto wa kike akitongozwa leo, analeta bajeti ya matumizi yake hata kabla siku haijakwisha.
Vijana hawana pesa, hawana ajira, hawana mitaji halafu atokee mtu anamuomba pesa!
Ndio akipata japo buku tano anakimbilia kwa dada poa...
Kazi ipo!!!
Nchi yetu ina watu wengi sana, serikali yetu haina uwezo wa kuwahudumia watu wake kwa hali itakayoweza kumridhisha kila mtu.
Watumishi wa kada ya afya ni wachache sana kulinganisha na wingi wa wateja, na hapo hapo wengi wao sio waaminifu katika utendaji wa kazi zao
Vifaa navyo...
Tofauti zao ni za kisiasa, kwenye masuala mengine ya kijamii tunabaki kuwa kama ndugu!
Mbowe ana akili sana, kumuelewa inahitaji uwe na akili kumzidi yeye vinginevyo utaumiza kichwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.