Recent content by mdage

  1. M

    JamiiForums Tanzania HONGERA Mnadhimu TUNDU LISSU

    kweli lisu me nimekusikiliza kuanzia mwanzo hadi mwisho. we ni kiboko kwelikweli. naamini ukisimama hao viongozi wenu wanaanza kuhangaiika. wanaanza kujipanga jinsi ya kuwakanilize. ccm walevi wa madaraka
  2. M

    JamiiForums Tanzania Safi! Mbunge wa Kigamboni - (CCM) kesha kinukisha!

    tatizo la wabongo ni hilo. kinachowafanya kuanza kumpigia debe mpoki nn? achen uzushi bungen co sehemu ya kuchekesha
  3. M

    JamiiForums Tanzania CV ya Rose Kamili

    hafai huyu mama hatufai kabisaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania CV ya Rose Kamili

    huyu mama katumwa co bure
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ahsante Halima Mdee...

    watu wengne wangefurahi kuona zinapostiwa hints za ccm
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siku saba zilishaisha mnyika umewasilisha ushahidi??

    ndugu zangu hk chama hakifaii kabisa kuwepo.kimetuhadaa mda mrefu sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Siku saba zilishaisha mnyika umewasilisha ushahidi??

    wahuni hao hawapendi kuambiwa ukweli.wanaanza kujitetea
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwel nimeamini kikulacho kinguoni mwako..

    a pole ndugu haya mambo hutokea sana. mshukuru mungu yametokea kabla ya kuoana:A S cry:
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwel nimeamini kikulacho kinguoni mwako..

    :A S-baby:pole ndugu,a nza upya ndio mchakato wenyewe huo.niafadhali kwako yametokea kabla hamjaoana,fikiria kama ingekua baada ya marriage?
Back
Top Bottom