Hivyo vidhungu vyako havijajibu hoja zangu, endelea kuniona unavyoniona...I stand for justice, kuna kitu kinaitwa MANTIKI, na kwa aina ya maongezi yetu so far unaonyesha unaweza kufikiri kimantiki, ila "Mpe mbwa jina baya kisha muue" ndo mshaamua mloamua kuwa TPI wabaya, na basi hata hamsubiri...