mcyawn
Member
- Aug 26, 2009
- 11
- 1
Hivyo vidhungu vyako havijajibu hoja zangu, endelea kuniona unavyoniona...I stand for justice, kuna kitu kinaitwa MANTIKI, na kwa aina ya maongezi yetu so far unaonyesha unaweza kufikiri kimantiki, ila "Mpe mbwa jina baya kisha muue" ndo mshaamua mloamua kuwa TPI wabaya, na basi hata hamsubiri sheria ichukue mkondo wake mnaongea kishabiki. Hayo maelezo yangu yanapingana na sheria zote za mechanics na logic existing kuwa TPI walihusika kwa namna yeyote na sakata hili...and by the way, hakuna anaekataa kuwa hao culprits wakamatwe na haki ipatikane, lakini si kwa kupaka watu matope na kuwavunjia heshima watu bila ushahidi. Fikiri mjomba, THINK, ndio the only thing kijana unayo na hakuna atakae kunyang'anya...2.3 million doses supplied to MSD none was found to be fake nor counterfeit, halafu u-fake 12,000 doses??? hao waliofanya watakamatwa tu...