Wanajamvi, nilinunua simu hii ya GIONEE E7-Mini nikiwa India few years back. ni nzuri kwa muonekano na specifications zake pia si haba..
Bahati mbaga nikiwa najaribu kuiupdate ikastack and unfortunately ikadrain battery, kucharge nako ikagoma and mafundi wetu wa kibongo wakavunja kioo wakati...
Usilete mdomo wako kujifanya unaipenda sana UKAWA na unachukia udhalilishaji!! Au tuanze kutafuta post zako za huko nyuma!!???
UKAWA Tunashinda huu uchaguzi, na tutawanyoosha wote wenye hizo tabia, ukiwemo wewe!!
Tuliza mshono mpuuzi ww, usilete SIASA kwny maisha ya watu!!! Pumbavu&nusu kabisa...
R.I.P Filikunjombe, William Slaa na abiria wote waliokuwepo kwenye Helicopter!!
Jana nilienda kupima mita 200 kutoka kituo changu cha kura nikakuta bar. Nimefurahije!!
#PigaKuraLindaKura.........
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hujasema eneo ulilopo!! Huku kwangu nilipo Jimbo la Kawe Kuanzia DIWANI, MBUNGE, RAIS na hata wenyeviti wa kijijini (wakati ukifika) .... Ni UKAWA MWANZO MWISHO.....
Ashakum si matusi..... (Serikali ya fisiem ni ya kinanihii sana)
Mimi ni Chadema kindakindaki ila kuna mambo at least yangewapa credibility kwa watz (kama hili la uokozi)....
Seriously imeshindwa kutoa Helicopter moja ya campaign kwenda kuwatafuta hao waliopata ajali toka jana?? Au basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.