Mwenzenu leo nimeamua kukazia Hukumu, "Simwangalii Nyani Usoni"

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Ndugu zangu wapendwa!

Leo ni siku yangu ya kutangaza rasimi kukaza hukumu yangu juu ya CCM (Chama Cha Mapinduzi).

Hii ni baada ya kusikiliza hoja nzito tena kwa umakini mkubwa kutoka pande zote mbili yaani CCM na Upinzani wakiongozwa na UKAWA.

Nimebaini na imethibitika CCM haiwezi kuniletea Mabadiliko ninayoyatarajia na pia baada ya kulizishwa na Sera za UKAWA sasa napenda kutoa hukumu yangu kama ifuatavyo:-

1. Ngazi ya Udiwani nitawapa CCM.

Nitampa kura yangu mgombea wa CCM kwa sababu huyu jamaa ni CCM lakini matendo yake ni ya Ki UKAWA UKAWA na pia kwa muda aliokuwepo kama Diwani ametusaidia kutatua kero zetu nyingi. Kingine hata yeye anatusapoti sisi UKAWA kwa background, na ninajua wapo wana CCM wengi wanatusapoti lakini hawapendi kujionyesha.

2. Ngazi ya Ubunge nitawapa UKAWA

Nafasi ya Ubunge nitawapa UKAWA kupitia Chadema, hii naifanya makusudi ili kubadilisha Bunge la Ndioo Ndioooo kwa kila jambo bila kujadili hoja kwa kina na umakini.

3. Ngazi ya Urais nitampa Lowassa wa Chadema kuwakilisha Ukawa.

Hapa sasa ndio silembi mwandiko kabisa, na hii ni mahususi kuiadhibu CCM wawe na adabu na Mali ya Umma na pia kuwathibitishia mimi Mtanzania sio Mpumbavu ila ni mvumilivu tu na wasichukulie uvumilivu wetu kua sisi ni Malofa.

Hukumu hii CCM wataaanza kuitekeleza hapo Juma Pili ya tarehe 25 mwaka huu na itadumu kwa miaka mitano.

Hii ndio Hukumu yangu.
 
Malofa, wapumbavu na wanaume wabeba mimba trh 25 tunakiathibu chanzo cha matusi haya.
 
3. Ngazi ya Uraisi nitampa Lowassa wa Chadema kuwakilisha Ukawa.
Hapa sasa ndio silembi mwandiko kabisa, na hii ni mahususi kuiadhibu CCM wawe na adabu na Mali ya Umma na pia kuwathibitishia mimi Mtanzania sio Mpumbavu ila ni mvumilivu tu na wasichukulie uvumilivu wetu kua sisi ni Malofa.

Hukumu hii CCM wataaanza kuitekeleza hapo Juma Pili ya tarehe 25 mwaka huu na itadumu kwa miaka mitano.

Hii ndio Hukumu yangu.

Mkuu ni bora ukamalizia kukazia hukumu tarehe 25 kwa kutokumpa kura hata huyo Diwani wa Kijani!
 
chinja tu hata DIWANI kama anaona aibu kwa kujificha chinjilia mbali
Ndugu zangu wapendwa!

Leo ni siku yangu ya kutangaza rasimi kukaza hukumu yangu juu ya CCM (Chama Cha Mapinduzi).

Hii ni baada ya kusikiliza hoja nzito tena kwa umakini mkubwa kutoka pande zote mbili yaani CCM na Upinzani wakiongozwa na UKAWA.

Nimebaini na imethibitika CCM haiwezi kuniletea Mabadiliko ninayoyatarajia na pia baada ya kulizishwa na Sera za UKAWA sasa napenda kutoa hukumu yangu kama ifuatavyo:-

1. Ngazi ya Udiwani nitawapa CCM.

Nitampa kura yangu mgombea wa CCM kwa sababu huyu jamaa ni CCM lakini matendo yake ni ya Ki UKAWA UKAWA na pia kwa muda aliokuwepo kama Diwani ametusaidia kutatua kero zetu nyingi. Kingine hata yeye anatusapoti sisi UKAWA kwa background, na ninajua wapo wana CCM wengi wanatusapoti lakini hawapendi kujionyesha.

2. Ngazi ya Ubunge nitawapa UKAWA

Nafasi ya Ubunge nitawapa UKAWA kupitia Chadema, hii naifanya makusudi ili kubadilisha Bunge la Ndioo Ndioooo kwa kila jambo bila kujadili hoja kwa kina na umakini.

3. Ngazi ya Urais nitampa Lowassa wa Chadema kuwakilisha Ukawa.

Hapa sasa ndio silembi mwandiko kabisa, na hii ni mahususi kuiadhibu CCM wawe na adabu na Mali ya Umma na pia kuwathibitishia mimi Mtanzania sio Mpumbavu ila ni mvumilivu tu na wasichukulie uvumilivu wetu kua sisi ni Malofa.

Hukumu hii CCM wataaanza kuitekeleza hapo Juma Pili ya tarehe 25 mwaka huu na itadumu kwa miaka mitano.

Hii ndio Hukumu yangu.
 
Nimejiandikishia ugenini ila udiwani ukawa, mbunge Godbless lema na rais ni lowasa
 
Mimi siwezi wapigia kura CCM hata siku moja. Yaani ninavyowachukia, sio hata kitu cha siri
 
Pipooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Hawa fisiem was.enge kweli yan eti mi siruhusiwi kupiga kura kwa vile nlijiandikisha moshi na sasa nipo Dar!
 
Back
Top Bottom