Recent content by mcrounmj

  1. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu last season will be On June 2024

    Siyo kweli mkuu. Kuna namna ulikosea ndiyo maana ilikuchapa adi ukachanganyikiwa. Pengine uliingia kama kwenye kilee kilimo cha Whatsapp. Kila kitu kinahitaji utulivu wa akili na kuendelea kujifunza huku una practice. Ili upate matokeo yenye tija kwenye kila utakachoanza kukifanya kwa mara ya...
  2. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu last season will be On June 2024

    Kweli mkuu.... Mfano huyo anayefananisha uchimbaji na kubeti, ni vitu viwili tofauti ni kama mbingu na ardhi. Kubeti imeegemea kwenye bahati, ila madini yapo kwenye fact na reality. Million 50 huwezi kuiwekeza sehemu ambayo hujapima na kujua uwingi wa dhahabu wa sehemu husika. Yaani kuna maabara...
  3. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu last season will be On June 2024

    Mkuu tukutane June
  4. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu last season will be On June 2024

    Nianze kwa kusema 'much respect to you all hustlers'. No matter what you're going through.... but you're the future billionaire. Hiyo ni salamu yangu kwenu watafutaji mliojipata, ambao hamjajipata na mnaamini katika kesho. Uzi huu ni mwendelezo wa nyuzi nne zilizotangulia zikielezea mapambano...
  5. mcrounmj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume tajiri anafaidika vipi na ndoa zaidi ya ngono tu?

    Usibishe mkuu...sema hujawahi ona ila wapo. Mimi yupo mwamba namfahamu, kipato chake chaweza kuwa 100ml+ kwa mwezi. Yuko kwenye 35+. Hajaoa, na amezalisha wanawake tofauti....saivi anatoka na ma super star kina mobeto nk. Yaani kiufupi wapo sana tu.
  6. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Hichi ulichoandika mkuu siku zote kitazidi kuturudisha nyuma ama kutudumaza. Acha ukweli usemwe. Tukianza kubembelezana na kutafutiana lugha laini, kamwe hatutasonga na kuuaga umasikini. Siku zote ukweli mchungu na unauma vibaya mno, lakini hatuna namna lazima tuunywe. Unapowaona Israel...
  7. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Mkataba huu hautufai
  8. mcrounmj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimae amepatikana nyonga mkalia ini na mahabuba wangu

    Thank you kwa dua zako mkuu
  9. mcrounmj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimae amepatikana nyonga mkalia ini na mahabuba wangu

    Habari zenu wakuu. Nimewiwa kuwasimilia safari yangu ya mahusiano hatimae kuja kumpata aliyesubiriwa kwa miongo kuwa Mrs A. Mimi ni aina ya wale vijana wa kiume wanaoamini kwenye kujitafuta kwanza kiuchumi kabla ya kuingia kwenye majukumu ya familia. Ninazo ndoto za kuwa na familia bora, watoto...
  10. mcrounmj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kitu kinakufurahisha zaidi ya tendo la ndoa?

    Very critical and humble thread I ever meet....be blessed chief! Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  11. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Chamwino Ikulu kila mtu anajifanya TISS!

    Wewe umejuaje kama siyo watu wa kitengo
  12. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Huyu abiria wa Mwendokasi kanikera sana, Wabongo tutaacha lini hizi tabia za kueleza mambo binafsi kwenye "public"?

    Mkuu tafuta hela uache kupanda mwendokasi Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  13. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Mrejesho; Biashara ya madini ya dhahabu... fourth season

    Mkuu ilibidi nitafute kwanza maana nilijaribu kidogo tu kabla ila wale waliokuwa wanajiona magwiji walinipiga bit na kutishia kuniitia police Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  14. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Mrejesho; Biashara ya madini ya dhahabu... fourth season

    Asante sana chief.... kikubwa nimepata mtaji na uzoefu, expectations zangu ni kufanya vizuri zaidi next season. Over approximation imetokea baada ya mimi kuwa nachukua sampo pale kwenye rundo ikanidanganya. Sampo ya mkemia ilitoa mulemule Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom