Pole sana ndugu..je umeoa? Una watoto? Huyo mwanamke ni mfanyakazi au hajishughulishi? Tuliza sana kichwa katika kipindi hiki..subiri akizaliwa mtoto utapata. Majibu ya mashaka yako
Nipo kwenye ndoa mwaka wa 12. Usijidanganye kufanya siri eti utamuumiza mke wa jamaa.
Trust me, anafahamu uwepo wako labda tuu awe hakufaham kwa sura na jina. Inawezekana huyo mama ameshazoea tabia za mumewe kabla hata ya kukupata wewe ndio maana haoni jipya..
Niseme tuu ukweli...sisi wanawake...
Mimi nadhani kwa zamani ilikua rahisi...ila siku hizi..sidhani.mke atajua tuu..labda mchepuko akiwa anapiga na kutuma sms mke anaweza fahamu..kwa sababu kwa vyovyota lazima awe anawasiliana na mchepuko kupata maendeleo ya mtoto..
Hapa ndugu yangu kua tuu mvumilivu..hiki ni kipindi ambacho mkeo anapitia maumivu makali ya kihisia..usilazimishe sana..atapona taratibu with time...lakini wewe ndio unatakiwa umsaidie katika kipindi hiki especialy kama mtoto huyo alipatikana baada ya ndoa yenu..jaribu kumueleza kwa utaratibu...
Kwakweli nashindwa kukushauri..ila ngoja nijaribu..
Kwa uzoefu wangu, naona ndoa yenu haitakua na furaha kabisa..maamuzi magumu inabidi yachukuliwe for the sake of amani ya mioyo yenu..jambo kubwa kabisa linaloletaga mpasuko kwenye ndoa hua ni kukosekana uaminifu halaf ndio na mengine hua...
Ahsante sana mkuu...yaani umeongea kama unafaham situation halisi..umbumbumbu wa mahusiano ulitaka kunipeleka pabaya...halaf wengi wameguswa na tiny dick..hahaha...nimesoma makala mbalimbali zinazoelezea maumbile ya sexual ograns kumbe suala la mtu kuridhishwa has got nothing to do with size ya...
Kweli kabisa mkuu...lets assume wife ake yuko happy na anaenjoy...
Kuwashwa ilikua ni allergic reaction to yale mafuta ya kinga.
Suala la kutaka kua karibu nae ni kwavile kitendo kilishatendeka so nikaona labda kunaweza kua na uhusiano nikaja gundua hilo halikua kwenye mipango yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.