Mwanaume uliza swali lolote hapa, sisi wanawake wa MMU tukujibu

Unafikiri ni sahihi mwanamke kulipiwa mahari? Haikumaanishii kua umeuzwa na hiyo itafanya mumeo ajione ana nguvu juu yako?

Umesikia juu ya Covid foundation inayotaka wanawake wajitolee kupika na kusafisha hospitali zinazohudumia wagonjwa wa Covid 19? Unahisi unaweza kujiunga nao?
 
Siku chache zipi? Unaishi Afrika? Unaona uzembe ambao nchi za Afrika zinafanya dhidi ya Corona? Kwa Taarifa yako Corona haiwezi kuondoka Afrika unless chanjo imegundulika!
Mwenye wajibu wa kugundua hiyo chanjo ni nani ?

Kama tunategemea mabeberu watuletee chanjo basi sisi raia na viongozi hadi wafalme wote wa Afrika ni vilaza sugu
 
Hivi ni kweli mnapokuwa na appoitment na mwanaume huwa hamna nauli?
Na hivi nikweli unapotongozwa tu mwanamke hapo hapo Kodi ya nyumba inaisha?
Luku nayo inakata?
Njaa pia inakukumba wala haijulikani imetokea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app


Hiyo itakuwa ni kwa wale wanawake ambao ni tegemezi yaani jobless.
Ambao wanaishi kwa kutegemea kudanga!
Kama utakuta ni mfanyakazi basi atakuwa hata kazi ameipata kwa ngono!
Hata utendaji kazi wake sehemu ya kazi ni mashaka matupu, ni mtu wa kutegemea kubebwa na hisani tu
Halafu elimu yake itakuwa ya kuungaunga.

Yani kwa ufupi anakuwa hayuko huru kiuchumi!

Pia wanakuwa si wenye maadili mema wala kuwa na hofu ya Mungu!
Wanakuwa watu wenye tamaa kushinda uwezo wao.

Actually sababu zaweza kuwa nyingi zenye kusababisha hayo lakini miongoni mwazo ni hizo.

Kwa hiyo siyo wanawake wote wako hivyo!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh... Kwa hiyo mie nimedanganywa na wanawake wote niliowagegeda kuwa wamekojowa kumbe hamna kitu maana hawakuning'ata..... Pumbavu zao
inate me ge a na staili gani ulimkunja,kama mbuzi kagoma kwenda anatafuna mto ama shuka.
kama kifo cha mende anatembea na ulimi ama skio.

ila kuna wengine ni tofauti kabisa na hivi nilivyo eleza kwenye amalizaji wao wa gia ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mambo gani ya msingi kwa maisha ya mwanamke hupelekea kujiamini yeye binafsi na mbele za watu?


Imeandikwa: “Kumcha Bwana ni chanzo cha hekima”.

Kwa hiyo ni vema akalelewa na kukuzwa katika kujifunza na kumjua Mungu.

Hapo atajifunza mengi ikiwemo upendo, uaminifu, kuwa mkweli, n.k
Awe na elimu ya kutosha ya kuweza kum transform toka ujinga na kupata ufahamu wa mambo.

Kujifunza na kuwa huru katika kuyashika maadili mema!

Kutafuta shughuli halali na kuifanya ya kumuingizia kipato.

Kuwa tayari kujifunza kila leo!

Hayo ni baadhi tu.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nifanye nini mke wangu anielewe na kukubali mtoto wangu wa nje ya ndoa?
Hapa ndugu yangu kua tuu mvumilivu..hiki ni kipindi ambacho mkeo anapitia maumivu makali ya kihisia..usilazimishe sana..atapona taratibu with time...lakini wewe ndio unatakiwa umsaidie katika kipindi hiki especialy kama mtoto huyo alipatikana baada ya ndoa yenu..jaribu kumueleza kwa utaratibu kua unaadmit ulikosea, na onyesha kubadilika kweli..acha hata vile vitu ambavyo alikua hapendi..onyesha mapenzi kwake maradufu kuliko hata kipindi cha uchumba, na jaribu kurekebisha uhusiano wako na Mungu, spend muda mwingi nae...ikishindikana yote hayo mshirikishe kiongozi wako wa kiroho. All the best
 
Nifanye nini mke wangu anielewe na kukubali mtoto wangu wa nje ya ndoa?


Jaribu kwanza kumhadithia hicho kisa kana kwamba kuna mfanyakazi mwenzio kimemtokea na amekuhathia hivi juzi kati na kwamba anataka ushauri toka kwa watu ajue jinsi ya kumwambia mkewe.

Hapo utaweza kupima upepo uone reaction yake kama ingekuwa yeye angechukuliaje?

Mhadithie mkiwa mmetulia sebuleni au nje uwani mkiwa wawili na huru , asinyanyuke nyanyuke asijepotezea ukakosa kupata kujifunza reaction yake.

Hata hivyo hiyo haitakuwa conclusive for itself hadi utakapozingatia mengineyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
inate me ge a na staili gani ulimkunja,kama mbuzi kagoma kwenda anatafuna mto ama shuka.
kama kifo cha mende anatembea na ulimi ama skio.

ila kuna wengine ni tofauti kabisa na hivi nilivyo eleza kwenye amalizaji wao wa gia ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumbe maana umenitisha mwana nikajua kjwa wote niliogegeda wamekuwa wakifeki mambo hahahaha
 
Back
Top Bottom