Recent content by mcmzungu

  1. mcmzungu

    Salamu zangu toka Kitaa kwenda CHADEMA!!!

    Nikiwa Mwanachama na mfuasi wa Chadema toka mtaani Tabata Kinyerezi mwisho walipo Wanachama wa ukweli Nakumbuka salamu yetu kuu kipindi kile 'Chademaaaaaa Tukajibu vemaaaaaa',kipindi hicho ambacho mapenzi yangu kwa Chadema yalikuwa motomoto Niliwahi kwenda jangwani kwenye mkutano kumpokea Dr...
  2. mcmzungu

    Walimtosa Ben Saanane, wakaingia mkenge kwa kijana wa Makumbusho

    Mzee Baba,heshima kwako Umeongea vizuri mno mno mno binafsi kama Mwanaharakati huwa Najiuliza CHADEMA ile ya kujenga hoja za maana ipo wapi?yaani kama wamepigwa ganzi kudadadeki wasiamke mpaka 2020,Naungana na Wewe hii kupokea pokea Watu sio issue wengine mamluki,Watumie hata mitandao ya kijamii...
  3. mcmzungu

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Nafanya hii biashara na dream yangu ni kuwa na center za kutosha sababu binafsi Napenda Sana games ni nzuri Ukifanya kwa hobby Usitegemee faida mara moja inachukua muda mara pad mbovu,mara flash imeibiwa nk but Ukiweka sehemu nzuri Unapiga hela.
  4. mcmzungu

    Kupigwa mnada kwa mali za kampuni ya udalali ya majembe kumenipa mafunzo haya

    Daima I really appreciate uandishi wako mzuri,kiukweli Mtu Unaweza kulia au kutubu dhambi zako au ubaya ambao Ulifanya kutokana na mtiririko wako mzuri kipaji chako Nakuamini Hongera sana Natamani makala hii itembee group za what's up,facebook na instagram.
  5. mcmzungu

    Mnaotumia Airtel kwa matumizi ya Internet mtuambie ina kasi gani?

    Nilihama tigo Nikahamia Airtel line ya chuo mwanzo ilikuwa safi sana lakini kwa sasa shida pamoja na kununua Kifurushi cha GB 2 ipo slow sana kwa sasa Nahamia TTcL Nasikia huko mambo ni mwake
  6. mcmzungu

    Should Churches in Tanzania continue being exempted from Paying Taxes?Tanzania loses 2.6 bln due to this

    Hongera Mtumishi,Umezungumza ukweli makanisani kuna utajiri wa ajabu mno kwa Viongozi wa Kanisa na mbaya zaidi hawahubiri Kweli zaidi ya kujitajirisha Wanakula bata kiukweli imefikia hatua Unashindwa kwenda ibadani sababu ya kukosa sadaka, mahubiri ni utoaji tu, toa ili ufanikiwe yaani makanisa...
  7. mcmzungu

    Jifunze hapa: Namna nilivyoanza mpaka nilipofikia. Unaweza kupata kitu

    Ndagha mwe upighile Umetisha Mzee Baba Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mcmzungu

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Mtoa mada Upo Sahihi sana tu,binafsi Nilikuwa na mashine hii ya maxmalipo Nilinunua kwa Rafiki yangu but Nilichotegemea sicho kwanza network ipo chini sana,commision ndogo sana kwa mjasiliamali Mchanga mwisho wa mwezi Unapata elfu kumi au 7,000 Ukitaka kuangalia commission mashine inagoma yaani...
  9. mcmzungu

    Fungua fikra...dunia inakuacha.

    Hongera sana Tunasubiri part two ya andiko lako zuri mno pia ni vema Ukaweka kwa urefu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mcmzungu

    Si kila fursa ni yako

    Hapo Nakubali J. L kiukweli Umeandika kitu kizuri Mtumishi but andiko kama hili kiukweli ni vema Ukalipeleka pia facebook na instagram ili Wengi wanufaike. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mcmzungu

    Kama Star TV wamefunguliwa, tegemea maajabu ACACIA

    Binafsi Nilitegemea tu Wafunguliwe sababu Mzee D ameajiri Watu Wengi sana TV na radio pia mchango wake Mkubwa kwenye kampeni hakika Sitashangaa kufunguliwa kwa vituo vyake zaidi Niliumia kumtangaza Una mdai hela ndefu aliyekupigania Uwe Ulipo.Tunasubiri episode nyingine za hii series Sent...
  12. mcmzungu

    Kanisani siku hizi za mwisho mwisho duniani!!!

    Nimeguswa mara nyingi kuzungumzia juu ya viongozi wa makanisa yanapogeuza dini kuwa biashara ya kuleta utajiri kwa kutumia jina la Yesu kwa kufanya usanii tu kudanganya Watu. Pamoja na Biblia kusema wazi siku hizi za mwisho Watatokea Manabii wa uongo kiukweli Wametokea na Wapo dhahiri. Binafsi...
  13. mcmzungu

    Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

    Napenda kuchukua fursa hii, kumshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kutoa maoni yangu katika jukwaa hili la JamiiForums, Nikiwa mwananchi wa kawaida na mdau kiasi fulani toka kitaani Sokomatola Mbeya, kiukweli tangu nimeanza kufuatilia hizi sarakasi za Lissu kuna makundi mawili yamezaliwa moja...
  14. mcmzungu

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji jiuzulu kwa maslahi ya Upinzani Tanzania

    Jana Nilikuwa Nawambia wenzangu huku tabata kinyerezi kwamba pengo la Dr Slaa lipo dhahiri shahiri wazi wazi Sikutegemea wingi wa wabunge bungeni,chama kitakwenda mrama kama sasa nadhani 2020 Tutapoteza wabunge wengi tu,ulimwengu wa sasa kuna njia nyingi za kuzungumza Facebook,instagram,youtube...
  15. mcmzungu

    Mbeya long time kitambo

    Nakumbuka enzi hizo Uncle Ngwisa Mapugilo,alikuwa mbabe hasa Mbeya manispaa walikataza kuchunga n'gombe pale makuburi ya Loleza,yeye akapeleka n'gombe,kuchunga akatumiwa polisi hii issue Nilishuhudia live aliwapiga na akaenda kuchukua shoka kufuata mifugo yake siku kadhaa mbele wakamkamata baada...
Back
Top Bottom