Should Churches in Tanzania continue being exempted from Paying Taxes?Tanzania loses 2.6 bln due to this

Hongera Mtumishi,Umezungumza ukweli makanisani kuna utajiri wa ajabu mno kwa Viongozi wa Kanisa na mbaya zaidi hawahubiri Kweli zaidi ya kujitajirisha Wanakula bata kiukweli imefikia hatua Unashindwa kwenda ibadani sababu ya kukosa sadaka, mahubiri ni utoaji tu, toa ili ufanikiwe yaani makanisa yamekuwa na promo kubwa kama biashara,article yako ni nzuri sana pia Nashauri ungetafsiri na kiswahili,pia ukitaka kujua uongo wa Watumishi baadhi tembelea YouTube tafuta Darren Brown miracles for sale
 
Ukiona mambo kama haya unajiuliza haya maandishi yanaihusu Tanzania au inchi gani? Nitarudi baadae.
hizi siyo taasisi za miaka ya sitini.Taasisi hizi sasa hivi ni tajiri sana zina uwezo wa kulipa kodi
 
1. The principle of separation of state and church (religion) is against the state interfering in religious matters. The same principle is against the church interfering in state matters.

2. The establishment of taxes regarding religious bodies will necessarily violate this principle. This is the main rationale against taxing churches. The government could inject itself in religious matters and pick winners and losers through taxation.

3. On the other hand, in realpolitik, we see churches injecting themselves in politics all the time. We alsosee politicians using the church all the time to further their political goal.

4. In reality, there is no separation of state and church. Tax exempt churches engage in political activities all the time.

5. Therefore, the rationale that established the tax exempt status of churches, for many churches, lose ground.

There should be strict criteria showing what is to be met before a church becomes tax exempt. If a church gives the president or leader of the opposition a platform to talk politics, that church should lose tax exempt status because it is acting as a political body.

However, if a church is operating as a merely not for profit religious body doing a lot of community work, it should be exempt from taxes.
 
Ila wanaosali humo misikitini ndio matajiri wa kupindukia ama sivyo mkuu?

Ten Tanzanian Multi-Millionaires You Should Know

Vile vile nataka kujua kama lengo hapa ni makusanyo ya kodi pekee au kudhoofisha baadhi ya dini nyingine kukua?

Na vile vile ningependa kujua kwanini ukaamua kutumia Id yenye jina la dini unayoichukia ili kufikisha ujumbe wako haramu?
nani ananufaika na utajiri wa taasisi hizi? Mbona huduma zao zinapatikana hata kwa umma? Elimu,afya hupati kwa kuwa ni mshirika wa hizi dini! Ni malipo tu ndiyo upatiwe huduma Tens ghali kuliko za umma Wanafanya biashara hawa acheni walipe kodi stahuki.
 
Tuseme mashirika ya Dini yalipe kodi.
Hili lilikuja kipindi cha JK na Mh Mustafa Mkulo akiwa waziri wa fedha baada ya hotuba yake weeeee Makanisa yalikuja juu na yakilaaani sana kuhusu kulipa kodi.
Ilibidi waziri akarekebishe hili suala.
Hapa nikajiuliza na kiongozi wa tz ni makanisa au rais?
 
Huu Uzi umekuja baada ya makanisa kumuombea TL and therefore hizi ni siasa za maji taka! Kumbuka makanisa yamesamehewa kodi kwa huduma wayotoa mfano elimu, afya ya roho na mwili na pia uchumi.
hata kwa umma zipo hizo huduma.Mambo yamebadilika siku nyingi. Lengo la taasisi hizi si tena kuhubiri injili iletayo wokovu.Mambo yako wazi hizi taasisi zinafanya biashara kwa uwazi. kwa mini waendelee kusamehewa kulipa kodi? Miradi wanayoimiliki ni mikubwa na inaingiza fedha.Haya mabenki na vyuo vikuu ni mshirika gani wa kawaida anapata huduma huko? uliza ni washirika wangapi wana account za benki hizo? Masikini wanasaidiwa vipi kupata elimu kwenye shule zao?
 
BAKWATA walishabanwa umesahahu mkulu alipoingia tu.
Iwe mwisho kusamehewa kodi. Walipe tu.Wamepoteza uhalali wa kusamehewa kodi.Wanajenga mashule na vyuo halafu mshirika wa kawaida hawezi kusoma huko.Hizi taasisi za kidini ziliishaacha malengo yao ya asili siku nyingi.Sasa ni kujitajirisha na kumiliki mali.Hawa unaweza kuwakuta hata kwenye biashara kubwakubwa.
 
Ila wanaosali humo misikitini ndio matajiri wa kupindukia ama sivyo mkuu?

Ten Tanzanian Multi-Millionaires You Should Know

Vile vile nataka kujua kama lengo hapa ni makusanyo ya kodi pekee au kudhoofisha baadhi ya dini nyingine kukua?

Na vile vile ningependa kujua kwanini ukaamua kutumia Id yenye jina la dini unayoichukia ili kufikisha ujumbe wako haramu?
very petty logic
Huoni sehemu kubwa anazungumzia US
Misikini hakuna sehemu maalum ya matajiri.so swala la utajiri wa waaumini ni irrelevant
Unadhani kwa nini hao matajiri wamemwachia ufadhili wa BAKWATA Makonda?
 
Tuseme mashirika ya Dini yalipe kodi.
Hili lilikuja kipindi cha JK na Mh Mustafa Mkulo akiwa waziri wa fedha baada ya hotuba yake weeeee Makanisa yalikuja juu na yakilaaani sana kuhusu kulipa kodi.
Ilibidi waziri akarekebishe hili suala.
Hapa nikajiuliza na kiongozi wa tz ni makanisa au rais?
Yalipe
 
1. The principle of separation of state and church (religion) is against the state interfering in religious matters. The same principle is against the church interfering in state matters.

2. The establishment of taxes regarding religious bodies will necessarily violate this principle. This is the main rationale against taxing churches. The government could inject itself in religious matters and pick winners and losers through taxation.

3. On the other hand, in realpolitik, we see churches injecting themselves in politics all the time. We alsosee politicians using the church all the time to further their political goal.

4. In reality, there is no separation of state and church. Tax exempt churches engage in political activities all the time.

5. Therefore, the rationale that established the tax exempt status of churches, for many churches, lose ground.

There should be a strict criteria showing what is to be met before a church becomes tax exempt. If a church gives the president or leader of the opposition a platform to talk politics, that church should lose tax exempt status because it is acting as a political body.

However, if a church is operating as a merely not for profit religious body doing a lot of community work, it should be exempt from taxes.
Hahahah
 
Back
Top Bottom