Naona woga umemwingia anapofikira maisha baada ya kustaafu. Bila shaka anadhani atakayekuja atakuwa na tabia ya kutojali waliotangulia kama anavyofanya yeye. Inaitwa projection
Rais Magufuli awe makini, kwasababu sasa taratibu baadhi ya wabunge na mawaziri wa CCM wanaikataa serikali yao wenyewe. Where is this leading to? Na kwavile hata yeye mwenyewe huwa anasema baadhi ya watendaji wake ni... ..asishangae siku wakimwita na yeye ni mwongo!
Kimya cha CUF kina maana gani? Je, wanakubali kwamba walitaka kutia fujo kwenye huo mkutano wa ACT? Kama ni kweli kwanini Msajili asiwaandikie barua ya kuwafuta kwasababu ni chama cha fujo? Mambo ni mengi muda ni mchache
Bado inabaki kwamba Mkuu wa nchi si nchi. Kama ingekuwa hivyo, basi hata kasoro zake binafsi zingekuwa kasoro za nchi. Sehemu ambazo mifumo ya serikali ni imara, nchi inaweza kujiendesha bila rais au mkuu wa serikali/nchi. Kwa mfano endapo uchaguzi unakuwa suspended au kucheleweshwa kwasababu...
Lakini kama kimkataba madini yote yanayochimbwa ni ya mwekezaji na anachodaiwa ni mrahaba wa 4 percent, ambayo hao wawekezaji wanadai wanalipa, inawezekanje wawe wezi wa mali ya (mchanga uliokwisha chimbwa)? Ninachoona mimi na ukisikiliza tone za wachangiaji utagundua kuna makundi matatu au...
Kati ya Mambo ambayo ccm imefanikiwa ni kuwafanya vijana kukata tamaa ya kuishi na kuwa tayari kwa lolote mradi tumbo linapata kitu. Afadhali kama Mama anaonesha kwamba kuna maisha nje ya ccm pia. Mungu ibariki TANZANIA
Katika somo la mantiki kuna aina tatu ya hoja dhaifu: 1. Agumentum ad bacculum; hii ni hoja inayojibu maswali kwa kutumia madaraka na si kufuata msingi wa swali. 2. Agumentum ad hominem; hii ni hoja inayojibu kwa kumshambulia mtu aliyeuliza swali, badala ya kujibu swali lenyewe. 3. Agumentum ad...
Naona unajidhihirisha usivyo na heshima kwa wanawake. Katika zama hizi kuongea mambo katika mfumo wa gender difference ni kasoro ya kitaaluma. Hata hivyo kwa vile mnadhani wanawake ni lazima wasemewe na wanaume, ili kwa kuzunguka muwe mnawatumia vibaya, matokeo yake ndiyo haya. Nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.