Recent content by Mchwa xx

  1. Mchwa xx

    Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

    Mwigulu alikuwa iramba juzi na maghembe usikute wamepitia hapo chapu kupunguza wafuasi wa m4c
  2. Mchwa xx

    Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    Kwahyo??? Mapimbi wakubwa nyie, kama ni mitambo mrudie hotuba yake yote kama mnavyorudia rudia ile ya kikwete
  3. Mchwa xx

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Naomba hotuba ya tundu iwekwe youtube if pocbo
  4. Mchwa xx

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Tbc its totaly unfair, ni kodi zetu hzo mmejisahau
  5. Mchwa xx

    Kenya Airways wamenunua Dreamliner sita, sisi tunakodi ka ndege ka kwenda mikoani kwa mbwembwe...

    Politics is a drvn forcce for every dvpmnt braza, poor ideology, corrupt politics = underdevelopmnet, kenya walipiga chini mmchama mbovu KANU that why wako faster, ila cc mara uambiwe sisiem ni mamaako, tutaishia kuuwa wabunge ili wataoto wetu nao wapate ulaji
  6. Mchwa xx

    Kenya Airways wamenunua Dreamliner sita, sisi tunakodi ka ndege ka kwenda mikoani kwa mbwembwe...

    Tatizo hulijui??? Unaifahamu ilipo KANU ya kenya??? Ndo maana wanapiga kazi, nyie jifanyeni kukumbatia hli lisisiem ili mpewe UDC mtaendelea kushangaa hvo hvo
  7. Mchwa xx

    Fupi tamu jamani lakini ndefu hakika inakera

    Huku kunanifaa sana kule kwenye siri au wazi hapafai stress tuu huku hata pinyeto napiga hasa pale heaven inapokuwa on earth
  8. Mchwa xx

    Nani kati ya Kikwete na hawa mwenye akili, mzalendo wa kweli

    Ha haaaaa haaaaaaaaaaaaaaa
  9. Mchwa xx

    Kura za maoni uchaguzi mdogo kalenga

    Joto la uchaguzi,
  10. Mchwa xx

    Yanahitajika Maelezo ya Kina Billioni 8.2 Kukarabati Bunge tu?

    Kukosa mgao hatari sana ha haaaaaaa ameamua kulia jamaaa, waloge c upo naijaaaa
  11. Mchwa xx

    Kilimanjaro yafanya vizuri kielimu,Kigoma Singida wafanya vibaya

    Hyo mikoa mingine ilikuwa wapi wakati knjaro wanajenga shule??? Mwigulu nae ajenge kwao au yy ndo msomi mkoa mzima??? Hongera knjaro
  12. Mchwa xx

    M4C Pamoja Daima ndani ya Musoma!

    zuberi zito kabwe yuko wapi?
Back
Top Bottom