Recent content by Mchunguzi J. Namala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kuchana vyeti!

    Nitafute nitakusaidia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki za kununua

    Nahitaji pikipiki Aina ya Sanlg.Nahitaji pikipiki 15 zilizo katika hali nzuri.Nitumie whatsapp picha 0755555066.Niko Mor.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wapi wanatoa Mafunzo ya kutengeneza simu ?

    Kaulizie veta
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupatiwa kazi ya muda

    uko mkoa gani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni lazima kizazi hiki kipite kwanza ndipo CCM ing'oke madarakani!

    CCM kufa ni lazima ila inaweza kuchelewa kufa lakini kifo, kiko pale pale. Nyerere mwaka 1995 aliwaambia kamati kuu ya C.C.M kwamba watanzania wanahitaji mabadiliko na wasipo yapata C.C.M watayatafuta sehemu nyingine.Mabadiliko yameanza Tanzania na huwezi kuyazuia. Watanzania watayatafuta...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndani ya SCOAN 29 Dec

    Mungu ambariki nabii wake T.B.JOSHUA.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya max malipo (MAXCOM) Price 350,000. DSM

    Ninalaki 2 na nusu.Nitafute kwa namba 0652841434
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Kuku Chotara 45 kwa laki3 tu...

    Vipi laki mbili unachukua.nitafute kwa namba 0652841434
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Jamani tuwe tunaweka post za maana kama hatuna cha maana tulale.Wewe unapanga ambao hawatarudi bungeni wewe ni Mungu.Je ukisema fulani hatarudi halafu akarudi utaficha wapi uso wako.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Arsha Rose Migiro: The future PM in 2015 lakini tatizo lake ni....

    Kuna watu wanasifiwa lakini hakuna chochote cha maana ambacho washawahi kufanya.Rose Migiro hana nguvu yoyote ya kisiasa ila historia yake imebebwa na Kikwete.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jambo la muhimu kwa CHADEMA

    Mtu yeyote anayependa kuleta mabadiliko hukosolewa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jambo la muhimu kwa CHADEMA

    CHADEMA tunavyotaka kuchukua dola hili ni muhimu lifanyiwe kazi.CHADEMA tumetegemea sana watu binafsi na hili linaweza kutugharimu.Mfano sio jambo la kujivunia kusema ofisi ya mkoa ya CHADEMA ilikuwa sebuleni kwa mtu.Viongozi jitahidi kwa hekima muhakikishe chama kina ofisi zinazoeleweka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Kufanyika kwa Kosa kubwa la kihistoria: Viongozi CHADEMA kutaneni kwa dharura!

    Katika maisha huwezi kupanda kwenda juu bila kukutana na mtihani. CHADEMA inapitia kwenye mtihani. Ambao najua viongozi wakiwa makini wataushinda na watapanda juu kuliko watu wengi wanavyofikiria. Na pili niwatahadharishe watu wengi wanaoongea sana juu ya Zito na CHADEMA.Utakuja kushangaa...
Back
Top Bottom