Jambo la muhimu kwa CHADEMA

  • Thread starter Mchunguzi J. Namala
  • Start date

M

Mchunguzi J. Namala

Verified Member
Joined
Oct 31, 2013
Messages
14
Likes
1
Points
5
M

Mchunguzi J. Namala

Verified Member
Joined Oct 31, 2013
14 1 5
CHADEMA tunavyotaka kuchukua dola hili ni muhimu lifanyiwe kazi.CHADEMA tumetegemea sana watu binafsi na hili linaweza kutugharimu.Mfano sio jambo la kujivunia kusema ofisi ya mkoa ya CHADEMA ilikuwa sebuleni kwa mtu.Viongozi jitahidi kwa hekima muhakikishe chama kina ofisi zinazoeleweka kuanzia ngazi ya chini mpaka juu. Lakini pia tuangalie suala lingine mfano wilaya ninayokaa mimi CHADEMA ni k.m inaendeshwa na mtu mmoja kwa sababu yeye mara nyingi ndio mfadhili mkuu wa chama.Kwa hiyo hilo linampa nguvu ya kuweza kuamua lolote na viongozi wakatii kwa sababu ya nguvu ya pesa.Je siku ikitokea naye akaasi?Kwa hiyo tuangalie vizuri misaada ya watu binafsi isikigharimu chama. Pia ni kweli kabisa tumewasahau viongozi wetu wa ngazi za chini na nahisi ndio maana wanatumiwa na C.C.M na watu wengine wenye masilahi yao.Viongozi wengi wa ngazi za chini wanajituma sana lakini wana njaa sana.Mfano C.C.M haiwalipi viongozi wake wa ngazi za chini lakini imewajengea mazingira ya rushwa ambayo wameridhika nayo.Mfano ukienda mahala una shida na balozi anataka umpe hela ndipo akuhudumie. Mimi nina rafiki yangu ambaye ni kiongozi wa CHADEMA Ambaye anajituma sana kukitumikia chama.Lakini juzi kakimbiwa na mke wake kisa maisha magumu.Nawaomba kama tunavyopigania haki za walimu,madaktari,polisi na wengine pia tuwaangalie viongozi wa chama kuanzia ngazi ya chini.Hii itatutofautisha na vyama vingine. MAWAZO YANGU NI KWA AJILI YA KUBORESHA NA SI KUBOMOA.
 
mary mary

mary mary

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
871
Likes
1
Points
0
mary mary

mary mary

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
871 1 0
Nawapongeza vijana wanaofanya kazi kwa dhati bila kuwaza rushwa na kununuliwa na maCCM. Kujituma kwenu si bure na Mungu awapiganie...Atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeshinda.
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,935
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,935 1,600 280
Mtachukua mapaka paund dola peke yake haitawatosha chama gani kila kitu kinadanya.
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,935
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,935 1,600 280
Nawapongeza vijana wanaofanya kazi kwa dhati bila kuwaza rushwa na kununuliwa na maCCM. Kujituma kwenu si bure na Mungu awapiganie...Atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeshinda.
Viongozi wa makao wanajilipa zaidi ya milioni 12 kila mmoja halafu unawadanya vijana wajitolee kivipi.
 
H

Haki sawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2007
Messages
4,701
Likes
569
Points
280
H

Haki sawa

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2007
4,701 569 280
Viongozi wa makao wanajilipa zaidi ya milioni 12 kila mmoja halafu unawadanya vijana wajitolee kivipi.
Upon jaw wako hauna dawa , jaribu kwenda Loliondo kupata kikombe
 
M

Mchunguzi J. Namala

Verified Member
Joined
Oct 31, 2013
Messages
14
Likes
1
Points
5
M

Mchunguzi J. Namala

Verified Member
Joined Oct 31, 2013
14 1 5
Mtu yeyote anayependa kuleta mabadiliko hukosolewa.
 
vyuku

vyuku

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Messages
494
Likes
41
Points
45
vyuku

vyuku

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2012
494 41 45
Nashangaa sana hiki chama,chama gani kimejijenga mkoa mmoja tu?tena kilipozaliwa,lkn mikoani hakuna katibu wala wenyeviti wote njaa tupu,angalia wao wanavyojilipa mamilioni,kisha mpewe dola,labda na rupia sio dola tu,mkipata hiyo dola si mtawalaza na njaa wakuu wa mikoa na wilaya??chadema kwisha zake na majimbo uchaguzi ujao yatapungua maana tumewashtukizia kuwa chama cha wachagaaaa.
 
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,598
Likes
526
Points
280
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,598 526 280
CHADEMA tunavyotaka kuchukua dola hili ni muhimu lifanyiwe kazi.CHADEMA tumetegemea sana watu binafsi na hili linaweza kutugharimu.Mfano sio jambo la kujivunia kusema ofisi ya mkoa ya CHADEMA ilikuwa sebuleni kwa mtu.Viongozi jitahidi kwa hekima muhakikishe chama kina ofisi zinazoeleweka kuanzia ngazi ya chini mpaka juu. Lakini pia tuangalie suala lingine mfano wilaya ninayokaa mimi CHADEMA ni k.m inaendeshwa na mtu mmoja kwa sababu yeye mara nyingi ndio mfadhili mkuu wa chama.Kwa hiyo hilo linampa nguvu ya kuweza kuamua lolote na viongozi wakatii kwa sababu ya nguvu ya pesa.Je siku ikitokea naye akaasi?Kwa hiyo tuangalie vizuri misaada ya watu binafsi isikigharimu chama. Pia ni kweli kabisa tumewasahau viongozi wetu wa ngazi za chini na nahisi ndio maana wanatumiwa na C.C.M na watu wengine wenye masilahi yao.Viongozi wengi wa ngazi za chini wanajituma sana lakini wana njaa sana.Mfano C.C.M haiwalipi viongozi wake wa ngazi za chini lakini imewajengea mazingira ya rushwa ambayo wameridhika nayo.Mfano ukienda mahala una shida na balozi anataka umpe hela ndipo akuhudumie. Mimi nina rafiki yangu ambaye ni kiongozi wa CHADEMA Ambaye anajituma sana kukitumikia chama.Lakini juzi kakimbiwa na mke wake kisa maisha magumu.Nawaomba kama tunavyopigania haki za walimu,madaktari,polisi na wengine pia tuwaangalie viongozi wa chama kuanzia ngazi ya chini.Hii itatutofautisha na vyama vingine. MAWAZO YANGU NI KWA AJILI YA KUBORESHA NA SI KUBOMOA.
Hata Tanzania Daima ni gazeti la Mbowe lakini linatumia jina la Chadema kumwingizia kipato Mbowe.
sixgates alishauri Chadema ianzishe gazeti Mbowe akawa mkali kwelikweli akipinga hilo...
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,250,646
Members 481,436
Posts 29,740,402