espy Mungu akubariki lkn kuna wengine wapo kwaajili ya kupinga tu ....chukua points za msingi huyo anayepinga muache alivyo maana waweza kujikuta anakukasirisha
Sawa kaka kila la kheri ktk kuchagua kwako lkn kumbuka Mungu hazihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakacho vuna wewe zini sana utapata malipo kulingana na matendo yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.