Recent content by Mchundo

  1. Mchundo

    Tanzia:Mwalimu wa Tuition Mchikichini,Ngaiza Lusima(Chemistry) afariki dunia.

    *TAARIFA* *KWA* *UMMA* Kampuni ya Hopegen Tanzania, inakanusha taarifa za uzushi na zenye lengo la kuleta hofu kwa jamii ya wanataaluma nchini Tanzania. Mkurugenzi wake mkuu Ndugu NGAIZA LUSIMA ni mzima na mwenye afya tele na anaendelea na majukumu yake kama kawaida. Kampuni itachukua hatua za...
  2. Mchundo

    Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

    Ndugu yangu,katika shule za Kikatoliki kila mtumishi ni Mlezi.Na hili ndilo jambo linaloziweka shule hizi kuwa tofauti na zingne.Watoto wanafundishwa kuheshimu kila myu kuanzia mfagizi mpaka Mwalimu mkuu.Kila mtumishi anapewa jukumu la ulezi pasipo ubaguzi wa Kielimu! Nimejisikia vibaya sana...
  3. Mchundo

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania na Duniani ni Papa. Hakuna Askofu mwingne zaidi ya Askofu Mkuu wa Roma yaani Papa anaekua mkuu wa Kanisa katika Nchi yoyote au bala lolote. Kutoka Papa inafuata level ya Jimbo na Mkuu wa Jimbo ni Askofu mahalia. Hakuna Cheo cha Mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania...
  4. Mchundo

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Kama hulifahamu kanisa takatifu na mfumo wake wa kiuongozi ni heri ukae kimya kuliko kupotosha. Mfumo wa Kanisa katoliki umegawanyika Kutoka Duniani down to Archdioceses(Majimbo Makuu) yanayoongozwa na Maaskofu Wakuu then Dioceses(Majimbo) yanayoongozwa na Maaskofu wa Jimbo. Hivyo basi hakuna...
  5. Mchundo

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Ana 73 sasa,bado miaka miwili astaafu. Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
  6. Mchundo

    Chuo kipi bora kati ya MUHAS na KCMC

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MUHAS ina heshima yake Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mchundo

    Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

    Simple sababu hawakuweza kusoma UDSM,hivyo wakaona UDSM imewabagua. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mchundo

    Sasa kwenda chuo kikuu ni bahati!

    Hongera mzee,hakika kama mtu kafaulu kwa nini alie lie...juzi kuna mmoja ananitafuta ana Div.2 anaulizia MUHAS,jibu langu likawa aombe Mungu waliofaulu vizuri zaidi yake wasiapply MUHAS ndio ataipata[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mchundo

    Sasa kwenda chuo kikuu ni bahati!

    Naomba nikurekebishe katika mambo mawili, 1.Sio kweli mwaka huu ndio mbinde kuingia chuo kulinganisha na miaka yote,early 80's and 90's vyuo vikuu vilikua vitatu tu yaani UDSM(+MUhimbili as college),SUA na Mzumbe(For In services).Hivyo ilikua wanaoingia ni wenye ufaulu mkubwa sana. 2.Hao...
  10. Mchundo

    Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

    Acha kuongea kishabiki,naomba hata ambao hatukufanikiwa kufika UDSM tusikiongelee chuo hiki kwa chuki za wivu. Kozi iliositishwa ni ya Udaktari wa binadamu.Kikubwa katka hio ilikua ni ushauri wa Mhe Rais,kwa nn tuwe na MD udsm wakati MUHAS ipo na tena inaendelea na ujenzi wa Chuo kikubwa kabisa...
  11. Mchundo

    Mbona MD imekuwa ngumu hivi!!!

    Hili na neno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Mchundo

    Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    Jamaa muongo kweli wewe,nahisi utakua AMO.Mambo ya kutoheshimu MDs ndio mnakuja kutusumbua makazini na viAMO vyenu.Content ya MD huwezi linganisha na vitu vya voda fasta hata siku moja.
  13. Mchundo

    Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    Njia ya pili na rahisi,atumie alternative qualifications kwa kwenda kusoma BS majoring in Physics/Chemistry/Biology/Zoology then baada ya iyo miaka 3 aapply MD kama atakua bado na passion na Medicine.. Mpe pole lakini mtie moyo that there is always an open door to success.
  14. Mchundo

    Alcohol ina madhara kwa mama anaenyonyesha?

    Naomba kujua kiwango cha juu kabisa cha elimu ulichofikia.
  15. Mchundo

    Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Lakini kwa muhimbili ni mwisho wa chuo,sup huku zinaogopeka sana hasa kwa 1st na 2nd yr
Back
Top Bottom