Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

Wakuu kuna mwanangu mmoja amepata gpa ya 2.9 ya clinical medicine amechanganyikiwa na ameshalia sana ushauri wenu jaman spate mwanga ajue cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app

Njia ya pili na rahisi,atumie alternative qualifications kwa kwenda kusoma BS majoring in Physics/Chemistry/Biology/Zoology then baada ya iyo miaka 3 aapply MD kama atakua bado na passion na Medicine..

Mpe pole lakini mtie moyo that there is always an open door to success.
 
mwambie kuna maisha mengine kwenye AMO na anaweza kuspecialize kama MD anavyospecialize akimaliza kusoma AMO ..issue ya sijui AMO haitambuliwi kimataifa isimuumize kichwa. kimataifa sio deal sana tukomae hapa hapa Kwa Nyerere

Jamaa muongo kweli wewe,nahisi utakua AMO.Mambo ya kutoheshimu MDs ndio mnakuja kutusumbua makazini na viAMO vyenu.Content ya MD huwezi linganisha na vitu vya voda fasta hata siku moja.
 
Oyo
Wakuu kuna mwanangu mmoja amepata gpa ya 2.9 ya clinical medicine amechanganyikiwa na ameshalia sana ushauri wenu jaman spate mwanga ajue cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hajafanya maamuzi mwambie afanye verification nacte ili ajue ana GPA ya ngapi kutoka nacte maana GPA ya chuo na nacte zinatofautiana anaweza kuta imeongezeka kwa hadi 3.1 hadi 3.3
 
Jamaa muongo kweli wewe,nahisi utakua AMO.Mambo ya kutoheshimu MDs ndio mnakuja kutusumbua makazini na viAMO vyenu.Content ya MD huwezi linganisha na vitu vya voda fasta hata siku moja.
Mkuu from what I 'hv been observing ni kwamba most of the MDs wamekuwa wakifanya internship huku hospitali za mikoani za misheni ambapo experts ni wakongwe Amos na ni majembe kweli kweli kwa surgeries na matibabu ya kawaida na ukiangalia mda wa kusoma amo alitake 3 yrz diploma na 2yearz za amo istoshe practise wodin uanza first year ya diploma lakin MD hadi afike 4th year na ndo mana hutakaa uskie internship ya amo ,,, sasa sielew kwann kumdharu amo kumuita VODA fasta wakat what MDS does the same to AMOS ,,,,ukitaka thibitisha ili njoo mikoani ujionee they r saving life of our people
 
Ni kweli kwa practical AMO ni bora sana kuliko MD bt tukienda kwenye reasoning AMO hakuna school kichwani

Kwa mdau, kwanin asisome AMO then akomae aende MD kmanaihitaji sana?
 
Back
Top Bottom