Recent content by mchumia tumbo

  1. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

    Pole kwa wote waliofikwa na msiba.Wapumzike kwa amani
  2. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Kuna shida ya vituo vya mafuta kutouza mafuta

    Jioni nimepita zaidi ya vituo vitatu vya kuuzia mafuta mitaa ya kigamboni wanasema hakuna mafuta.Naweza kupata mafuta mtaa kwa huku kigamboni. Msaada please
  3. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wavamia ofisi ya Serikali ya Mtaa Tabata, wamchukua mwizi wa Bodaboda watokomea naye kusikojulikana

    Hili jambo la kujichukulia sheria mkononi lisipokemewa tutafika pabaya.Wizi ni mbaya,ila mtuhumiwa kuchukuliwa tena kwenye ofisi ya mtaa na kwenda kuuawa.Kuna watu wanapaswa kuchukuliwa hatua. Sent from my SM-M325F using JamiiForums mobile app
  4. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Kabla kutoa maoni,je nyaraka hii imetoka bungeni kweli?
  5. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Imepita zaidi ya wiki ndio inakuja habari ya kubakwa.Alipohojiwa baada ya kupatikana hakueleza haya hadi aeleze kwenye vyombo vya habari?.Maswali ni mengi sana kuliko majibu.Inapaswa kuwa na chombo huru cha kuchunguza na kupata ukweli.Kuliko jamii kubaki kwenye ombwe hili. Sent from my SM-M325F...
  6. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa huduma ya Alipay

    Supplier nlimpata kwa njia nyingine ila anataka kulipwa kwa Alipay
  7. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa huduma ya Alipay

    Alipay mkuu
  8. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa huduma ya Alipay

    Asante sana Mkuu
  9. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa huduma ya Alipay

    Asante,ntafanya hivyo
  10. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa huduma ya Alipay

    Nlikuwa nataka kununua bidhaa China ila supplier anataka kulipwa kwa Alipay
  11. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa huduma ya Alipay

    Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uelewa,wapi naweza kupata huduma ya Alipay hapa Tanzania
  12. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

    Nafikiri ni wakati wananchi wote kutozwa kodi.Ingekuwa busara na wale wa mjengoni wakatwe kodi na kuchangia kwenye mifuko ya mafao.Hapo kila mmoja wetu angejua maumivu ya kulipa kodi.Hivyo kila mtu angehakikisha hakuna hata kodi itakayotumika tofauti na mipango tuliyojiwekea
  13. mchumia tumbo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Antenna za D link router

    Dsm
Back
Top Bottom