Recent content by Mchuanomkali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Fanya hivi ntakutumia namba mtafute huyo mchungaji mpaka umpate hana jina lakini MUNGU anamsikia sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Nikiwa chuo X waliopita Diploma walikuwa na Tania za kututenga tenga na kudharau kiss wamepita Diploma kwa kozi tusomayo Degree .Ilipita Disco ziliwafagia mpaka kujienga wakaacha. Uzoefu wangu kazini wengi Wa Diploma ni wajingajinga na kujionaona bora use cheti au degree ndo unakuwa na adabu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wanawake wengi wa kikristo kuanguka/kulipuka mapepo wanapo ombewa ,kuliko ilivyo kwa wanaume

    Siri kubwa nyingine.Kutosaheme mfano Fulani ameniudhi namchukia mpaka kufa,hapa lazima pepo likuvamie(Ukishindwa kusamehe Massa 12 unafungua mlango Wa mapepo)
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware kwa 13M

    Wakuu naomba tukasali leo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware kwa 13M

    Toka njoo Njombe ujifunzs kwa wakenya na wabongo wanauz parachichi ulaya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Ingia Katika Dini iliyokuwa kama taasis sio dini IPO mkoa mmoja tu. Eagt,Moravian, na nyingine kikubwa rohoni umfuate Mungu kweli usibip
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu haya machache kuhusu ASA MICROFINANCE

    Wanatabia kuuuliza ulichosomea kama maswali ya gafla mafano tell ud about hr kama ulisomea hr Function of microfinance. Pitia Tv za kingereza uongeze msaiati Jiamini na usikae mbele
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kaoa ila kashindwa kuacha kulala na malaya

    Ushuhuda huyo ana pepo ngoja akutatane na mtu wa MUNGU aliyesimama haswa utaniambia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

    Ngoja aje Njombe tunakusahau
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Mauti ya Rafiki Yangu

    Amka funga omba.Mungu amekutumia uchukue maamuzi.Ukiaach kubebe huo mzigo wa maomi maana yake umepuuza sauti ya MUNGU.hii kitu imewahi nitokea nashukuru MUNGU katika kumuomba aliepusha ilikuwa ajali badala kuwa mauti ikawa ajali ya kawaida mno
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Achana na nawasiliano kazii ni nyingi mno hasa mwezi wa kwanza utakimbia wewe.Toka kwenu sogea mwezi wa kwanza but hasira acha kwenu.Ukiona huwezi acha kwenu viwandani huwezi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Mwezi wa 12 toka kwenu njoo njombe viwanda vya parachichi unafika na kwenda viwanda vya parachichi na kubeba kazi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Tumesikia hasira hutufunza muda mwingine kuzira hasa ukigundua kuna pesa imeibwa hakika huwa tunazira hasa hat miezi kadhaa.Tusaidiane hapa kujumuisha.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Upo sahihi, umewaza vyema sana kutuuliza wahusika
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    KABLA YA NDOA(kabla ya janga) -Mwanamke awe na kitu cha kuchangia katika ndoa PART A KABLA YA NDOA 1.Mwanaume awe na cha kuchangia katika ndoa 2.Mwanamke awe na cha kuchangia ndani ya ndoa 3.Mafunzo ya ndoa iwe miezi miwili kisheria kwa wote 4.Kama hamna cha kuchangia ktk ndoa ndoa isiwepo mean...
Back
Top Bottom