Recent content by mchotamaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yamtisha mtangazaji Sam Mahela kwa kutangaza treni iliyokwama

    Mama yako alikuwamo kwenye hiyo treni nilijua tu utaibuka ila mkuu Uliona ya magodoro?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Great thinkers tafsiri ya neno "fisadi" kwani kumekuwa na tafsiri za ajabu

    Watanzania wenzangu hasa Great Thinkers ninaomba mtusaidie tafsiri sahihi ya neno "FISADI",Hii imetokana Na matumizi yasiyo Na uhakika ya neno hilo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yamtisha mtangazaji Sam Mahela kwa kutangaza treni iliyokwama

    Mtangazaji wa Kituo cha ITV Bw. Sam Mahela juzi alitangaza juu ya treni ya kwenda mikoani kuharibika na kuwatelekeza abiria waliokuwa wanasafiri na treni hiyo. Hali ya abiria hao na watoto no mbaya na pia abiria walimwonyesha mtangazaji huyo vitanda na magodoro yaliyochakaa. Baada ya kuona...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Push up zinapokuwa sera ya kuomba kura ni dharau kwa watanzania

    Mkuu Sera kwisha suruali zimetuna nyuma nadhani in mzigo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Masaburi Unaondoka kwenda Ubungo UDA zetu Hazifiki Huko tutakujaje?

    Watanzania wenzangu nchi hii ya ajabu sana huyu Masaburi alikuwa Meya Wa Jiji la Dar es salaam.Na ni huyu huyu akishirikiana Na IDD simba Walipokea Hela wakaingiza kwenye akaunti ya IDD simba wakati Hela ya serikali cha kushangaza kesi ilikwisha kimya kimya.Wabunge Wa Mkoa Wa DSM wakalipeleka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara na Lindi wahoji siri ya Lowassa kupitia upya Mikataba ya Gesi

    Unashanganini mbona hushangani wabunge Wa CCM kuupitisha kwa dharura? Acha utoto
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe wabunge wa CCM waliahidiwa mafao makubwa kupitisha muswada wa gesi!

    Hatimae siri ya kupitishwa Muswada Wa GESI kwa dharura Na HARAKA yabainika.Muswada huo una maslahi ya Viongozi Wetu Na Kundi la Wafanyabiashara Wa nje ya Nchi.Ili kuhakikisha mkataba huo unafanikiwa ilikuwa in lazima Muswada Wa Gesi Upitishwe kwa gharama yeyote Na Wabunge Wa CCM wakahaidiwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    Magufuli mbona Naye fisadi? Nyumba alizogawa mpaka kwa hawala zake.MV.Dar kanunua meli chakavu bil 9. Meli ya uvuvi serikali kuwalipa wachina mabilioni kwa upumbavu wake mkuu Watanzania tuna DATA zake
  9. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Mzee warioba njaa kali Mkuu huaminiki Mzee umekula matapishi yako
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 CHADEMA wakishindwa watasingizia NEC!

    CCM he wakishindwa watamsingizia NAPE au SLAA?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Operation toroka uje yakwama

    Jamani magamba Chadema hawana muda huo .mbona mnatoka mapovu mpaka maandishi rangi nyekundu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania mlio wengi umasikini wenu umesababishwa na "CCM"

    Kwani CCM wanavyotawala tuna kula Na kulala Bure? Usiwe Na mawazo mgando umri wako bado he ukifika umri Wa Mzee wasira so utagada mpaka ROHO?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli ni muadilifu, mchapakazi na mfuatiliaji tunamuamini

    MAGUFULI ni madilifu Wa nini?yule mrsX Wa kebby hotel?MAGUFULI mwadilifu Zile Nyumba alizogawa mpaka kwa jamaa zake? MAGUFULI mwadilifu? Ile MV.DAR chakavuu aliyonunua sh bill.9 Na imepaki no mbovu?MAGUFULI mwadilifu Hasara ya Bilioni 900 za Makandarasi Hana uandilifu wowote ndio walewale Vipi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Mwanakijiji ungewaomba TUME ujiandikishe Mara MILIONI ili kura zako zimweke umtakaye Tafadhali acha upuuzi wako kuwasemea watu wengine Lowassa hafai nyumbani kwenu kwetu anafaa pili kama njaa ni kali wambie wakuongezee mkwaja CCM yenu inatumia nguvu sana kuhangaika Na Lowassa yetu in...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nikisema 'Magufuliii' unajibu 'Ndo Nani?

    Ukisema Magufulii jibu muuza Nyumba za serikaliiiii au mnunua MV.dar chakavuuuuu
Back
Top Bottom