Maombi yangu kwa waziri wa afya au naibu wake, ebu mulikeni na pale kwenye board ya pharmacy kwani haipo sawa kabisa katika ufanis wa kufanya kazi, kuna wafamasia wapya wamefanya registration muda mrefu umepita lakini mpaka leo hawajapata certificates zao hivyo inawapelekea kuwa jobless huko...
Misaada hadi lini? ,kwa mgogoro wa Zanzibar ni picha mbaya kwa democracy yetu, lakn tusipende sana misaada Bali inabid tuwe makini kuzalisha vyetu na kusimamia kwa makini tutasonga mbele tu, huku kupenda misaada madhara yake wanataka tuwe mashoga sasa
Kwani hizi taarfa humu jamii forum kaleta waziri mkuu au watu wengine na mihemko yao,kwahyo media zisiruhisiwe kwenye matukio ya serikali sio,wakizuiwa mtasema wanaonewa,so whaaat!@
Kwangu mm sijaona shida iko wapi,nasubir utendaji wao ndio nitoe kasoro,wakitatua kero za huku kitaa poa tu.
Alafu huyo mnayemwita tundulisu atulie kabisa kama ananyolewa vile hana jipya,coz alituaminisha lowasa ni fisad wa kutupwa alafu akaja kumpokea na kua mgombea urais.
Kwangu mm lisu hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.