Recent content by mchonjoya

  1. mchonjoya

    Naombeni ushauri wa busara, amemfukuza mke wake kwa sababu yangu

    Pole dogo.!ulifanya kosa kukaa kimya ila imesha tokea huna budi kutafuta suruhuu.aah..!umesema unafanya kazi kampuni moja,yaani rafiki yako,mke wake na wewe si ndio?ushauri wangu .“NENDA KWA MTU WAMAKAMO AMBAE YEYE ANA MUHESHIMU MUELEZEE KWA UKWELI NA UWAZI,KISHA AMUITE RAFIKI YAKO NA MKE WAKE...
  2. mchonjoya

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Pole sana kaka..!kiukweli maradhi hayo yakimpata mtu aisee tena wa mama tena ziwa Bro!sikukatishi tamaa wala kukuvunja moyo juu mkeo. NAKUPA USHUHUDA WA KWELI. Dada angu alikua na na tatizo hilo na tulipita hatua hizo zote pale onceanroad,tulipambana vya kutosha rkn wapi hatima dadaangu amefari...
  3. mchonjoya

    Wewe ndio unachagua ufanikiwe au usifanikiwe?

    Habari members wote, Kila mtu anaitaji mafanikio katika maisha yake. Ili kufanikiwa lazima upange na kuchagua, na kuchagua ni maamzi ya kila mmoja wetu. Uchague kufanikiwa au kutofanikiwa, kwa kutozingatia mambo haya muhimu; 1. Mungu 2. Uwaminifu 3. Muda Mungu - Bila Mungu hakuna chochote...
  4. mchonjoya

    Biashara si mchezo, naombeni elimu ya mtaani kuihusu

    Kabla ya kumchapa mtoto waka kisa kula kwa jirani,jiulize kwanza maswali yafuatayo. 1-chakula kinapikwa kwa wakati apo kwako? 2-chakula kinachopikwa kwako je mtoto anakifurahia? 3-mazingira,kwa maana ya usafi,care,ubunifu vipo? Ukijua hayo utajua jinsi gani uwendeshe biashara yako. La mwisho...
  5. mchonjoya

    Kwanini Waswahili hatuwezi kwenda na muda?

    Ni tatizo kubwa mno ktk jamii yetu sisemi waswahili,au afrika.tanzania amboko tupo.kubwa nionalo ni KUKOSA MALENGO. ktk maisha ukikosa malengo kamwe mda kwako sio tatizo.mwenye malengo hapotezi mda.kira kitu atafanya kwa time sahihi,wakati sahihi na kwa usahihi zaidi icho akifanyacho.muda ni...
  6. mchonjoya

    Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Mjinga wewe! Bado upo ktk Karne ya giza. Mpaka Leo unaongea upuuzi huo eti hakuna mungu?? Hujiulizi ukiwa UMELALA!! Viungo vyote havifanyi kazi ispokua moyo! Je unajua SIRI YA TUKIO HILO? Lofaa sana
  7. mchonjoya

    Umewahi kuishi bila ya kazi ya kukuingizia kipato? Kwa muda gani? Na ulikuwa unapata wapi chakula na mahitaji muhimu ya maisha?

    Mi sio muandishi mzuri ila ni musdithi mzuri.NIELEWE SIOMBI KAZI APA BWANA MDOGO
  8. mchonjoya

    Hivi kuna wanaofanyabiashara ya Umachinga wenye Degree pale Mbezi Mwisho?

    hakuna kanuni yoyote uliosoma shule ikamafanya kazi mtaani.elimu hukuongea wewe ufaham wa mambo mbalimbali Katika kujitambua na kujisimamia zaidi.WEKA VYETI CHINI KAPIGE KAZI.
  9. mchonjoya

    Naombeni ushauri kuhusu biashara ya Mgahawa

    Iko poa sana,kama utazingatia na kufata yafuatayo. Usafi Chakula kizuri Wahudumu wenye nidhamu na ukalimu. Ubunifu wa vyakulala Uduma kupatikana kwa uwakika Nk. Sent from my F-02H using JamiiForums mobile app
  10. mchonjoya

    Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

    Mi sioni kama kuna ubaya ktk Hilo mtoto wako kutumia account zako.ilimradi account hiyo ilikua inafanya mambo ya kimaendeleo.
  11. mchonjoya

    God is the master planner of our lives

    Sina shaki na Uzi wako mjumbe.kubwa "subiri".na mwenye kusubiri yupo pamoja na m/mungu.
  12. mchonjoya

    Umewahi kuishi bila ya kazi ya kukuingizia kipato? Kwa muda gani? Na ulikuwa unapata wapi chakula na mahitaji muhimu ya maisha?

    Mkuu safari ilikua kubwa sana. Chakwanza,niliigawa Ile pesa mafungu matatu. (1)50000 nilinunua chakula cha nyumbani. (2)150000.nikampa wife aanze kufanya biashara ndogondogo pale home.anapika chapati asbh.na jion ana China chips mchwara. (3)50000 nikanunua kuku 5majike. Iliyo Baki mkuu ndo...
  13. mchonjoya

    Umewahi kuishi bila ya kazi ya kukuingizia kipato? Kwa muda gani? Na ulikuwa unapata wapi chakula na mahitaji muhimu ya maisha?

    Hakuna rafiki wa karibu.ni mtu tulikutana ktk michezo week end siku ya jpili.basi akanipa hilo dili,alikua anataka gari nikawa mtu WA kati.baada ya biashara kufanyika nikapata 1, 350,000ikawa sababu.rafika zangu wapo ila naisha nao kwa akili,wengine hatuna mawasiliano kabisa.mishe zangu ziko poa...
Back
Top Bottom