Naombeni ushauri kuhusu biashara ya Mgahawa

Naombeni ushauri kuhusu biashara ya Mgahawa

Mayova

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2018
Posts
238
Reaction score
229
Msaada kwa wale wazoefu wa biashara ya MGAHAWA naombeni uzoefu kwenye changamoto na faida ya hii biashara.

Tanguliza shukrani [emoji120][emoji120]
 
Usafi wa vyombo, wahudumu, wapishi, na jengo/kilinge; tasty and nutritious food; huduma nzuri; eneo/location.
 
Iko poa sana,kama utazingatia na kufata yafuatayo.
Usafi
Chakula kizuri
Wahudumu wenye nidhamu na ukalimu.
Ubunifu wa vyakulala
Uduma kupatikana kwa uwakika
Nk.


Sent from my F-02H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom