Ni kwanini mwanaume huwa mkali Sana kwa mwanamke anayempenda sana Kama vile mke au mchumba lakini huwa soft kwa wanawake wengine Kama kamchepuko ama rafki yake wa kike?
Jana mechi ya Liverpool na Chelsea ya finali ya Super Cup. Chelsea alipiga mpira mzuri Sana hata baada ya kusawazisha goli la pili. Lakini kilichotokea mabigwa walishinda game.
Vivyo hivyo finali ya UEFA dhidi ya Totternham. Liverpool haikuonesha mchezo mzuri Kama ule wa nusu finali.
Tusubiri...
Hesabia maumivu Bro...naona comment ndefu kwa swali lenye jibu tayari.
Ila Cha msingi ungeendelea kumtafuta upotezee ishu ya pesa uendeleze mapenzi Yale mlioanza wiki ya kwanza. Atleast pia kula shoo ya maana mkuu. Ila Cha muhimu uendeleze mapenzi atajielewa na pia atajishtukia mbona haniulizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.