Jamani TANESCO kuna shida gani huku Chamaazi kwa mapunda kila siku for almost a month mnakata umeme mama 6 Mara usiku hatuna umeme na hata Sasa naandika hapa hatuna umeme na hamsemi shida ni nn ...no notes mnakata Mara ghafla unarudi tena ...semeni shida ni nn na kwann ni hapa tu kwa mapunda
Mungu alitaka ujufunze kwamba humbariki mwanadamu toka hajazaliwa alitaka tujue kwamba Ana nguvu hivyo uwezo wake na afanyalo wewe huwez kuquestion Sawa tu na kusema kwann Mungu kakuumba mfupi mwingine mrefu ni Kundra na rehema zake kumuumba mlemavu ama asiemlemavu...Mungu anataka tujue Hilo...
Bima za Tanzania hawatoi ile hela mpaka mgonjwa apone aaindikiwe medical report na Daktari juu ya matibabu yake ndipo walipe....wakati case ya msingi hapa ni mgonjwa kulata matibabu muda huo...process ya hela za bima huchukua mpaka miaka miwili ama mitatu....ama mmoja itategemeana na recovery ya...
Amina kaka I real second u...Mungu sio dictator hajataka sisi tulazimike kufanya mambo fulani ametaka tuwe na wide choice ...na katika hio wide choice katoa angalizo ..katupa matokeo...kwamba mshahara wa dhambi ni mauti....kumquat shetan ni mauti...maana si nineona hapa watu wanajaribu...
Nimeumia mno mno najua ni wakati mgumu kama familia mnapitia ...umeshatajaa kusali msikate tamaa ongezeni kusali na kufunga kwaajili yake nahisi kama ni kitu kinajirudia kama ulivosema...secondly mzee anaweza anzishwa clinic za AA hapa Muhimbili zipo kama utakua radhi kumuanzisha let me know...
Nina ndugu wa hivi kaka ....nimewasukumizia mbalia maili mi saba so kidogo...they have to learn from their mistake ...wafundishe tena una huruma huyo dingilai ningekua mimi nisingemtesa ila ninachompa ningefanya kila nikimpa akumbuke mateso aliyompa mama na sisi
Kwani ni yeye tu anaetembelea v8 FYI halmashauri nyingi wanatumia hayo magari ...pili umasikini wa wa Watanzania sio kwasababu ya kununua V8 nafikiri sisi ndo hatumtendei haki ...i love the confidence he has
Kaka pole mno ...Ushindi wako ukaribu mno..huna haja ya kukata tamaa...ninaamin Mungu ana jambo jema kwako usipokata tamaa...nimepitia haya pia mpaka leo sina ndoa japo nimerudi na maisha mazuri sio kama xaman nilijifunza kutokata tamaa...inapotokea chochote juu ya kazi tutashtuana basing on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.