Recent content by MCHIWALAZ

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mwijage unanikwaza kwa kushindwa kufuta viwanda visivyoendelezwa

    Huu ndio uwajibikaji unaohitajika sio bla bla tu. Anashindwaje kuvifuta kama vipo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kupokea Taarifa ya Uhakiki wa vyeti feki vya Watumishi wa Umma

    Three days to sikukuu ya wafanyakazi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Baada ya uhakiki wa vyeti, tutahakiki matumizi ya mishahara kwa watumishi

    KMA NI kweli mhh aweza kufa mtu mwaka huu mbaya zaidi kila tetesi ninayoisikia Tanzania huishia kuwa kweli sijui kwanini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Huooo but no increement
  5. M

    JamiiForums Tanzania TCU wamebadilisha tena alama za kujiunga degree

    WATAFIKA TU 2.7
  6. M

    JamiiForums Tanzania TCU yapunguza vigezo vya kuingia Vyuo Vikuu kwa waombaji wa Diploma 2016/2017

    KWA WALIOSOMA DIP YA UALIMU NA KUPIGA MTIHANI WA NECTA HIYO 3.0 SI MCHEZO LABDA WALE WALIOPITIA MFUMO WA NACTE NI RAHISI KUIPATA. MI NASHAURI KWA WENYE DIPLOMA YA UALIMU WA NECTA WAWAACHIE 2.7 YAO TU
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitie upya viwango vya kujiunga na Elimu ya juu.

    Kwani jamani mnadhani hata hiyo 3.0 ni mchezo hasa kwa walimu wa diploma waliofanya mtihani wa necta
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi za jamii ipo sahihi kuondoa fao la kujitoa

    Mhh ajira mwisho niko na miaka 40 halafu changu nisubiri hadi 55-60. Nani hajui kuwa hata idadi ya wastaafu inapungua siku hizi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Will vs Shall,which is which??

    Hata sijaelewa kitu hapo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya RPL kwa TCU na pia upi ufafanuzi wa namna ya kuomba

    Mbona sijategemea jibu Kama hili toka kwako
  11. M

    JamiiForums Tanzania NACTE customer care kuna tatizo gani?

    Hali hiyo ni mpaka TCU
  12. M

    JamiiForums Tanzania NACTE customer care kuna tatizo gani?

    Mhh wapokee tena wakati ni mapambo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya RPL kwa TCU na pia upi ufafanuzi wa namna ya kuomba

    JAMANI NAOMBENI UFAFANUZI WA NANI ANATAKIWA KUOMBA KWA SIFA ZA RPL?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya RPL ya TCU

    Ahsante sana mimi nasubiri hiyo maana mhhh shikamoo tcu
Back
Top Bottom