TCU wamebadilisha tena alama za kujiunga degree

TCU wamebadilisha tena alama za kujiunga degree

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
783
Hatimae tena TCU wamebadilisha alama za kujiunga.

Diploma kujiunga bachelor ilikuwa 3.5 sasa imekuwa from 3.5 mpaka 3.0 wanamchukua.

FTC kujiunga degree ilikuwa B. Sasa waweza kujiunga ukiwa na C.

Wafahamisheni ndugu na jamaa....zile za mwanzo zilikuwa noma. Wangekosa wanafunzi baadhi ya vyuo.
 
vp kuhusu wale wa form six kama hawatawapunguzia nawao bas itakua sio haki wawafanyie ata point 3
 
daah..
asantenj wakuu kwa taarifa hii na uthibitisho..
tulishakata tamaa asee
 
na wale ndugu zetu wa form six nao wafikiriwe pia isiwe kwa upande mmoja?
 
Wanapunguza ili iweje wanashusha kiwango cha elimu tutapata wataalamu wasio competent wadau ilitakiwa ibaki 3.5 ivyo ivyo
 
Wanapunguza ili iweje wanashusha kiwango cha elimu tutapata wataalamu wasio competent wadau ilitakiwa ibaki 3.5 ivyo ivyo
Kama gpa kubwa ndio kiwango cha uelewa elimu yako haijakusaidia...inawezekana hujapita hata chuo ili kuelewa maana ya gpa.
 
Hatimae tena TCU wamebadilisha alama za kujiunga.

Diploma kujiunga bachelor ilikuwa 3.5 sasa imekuwa from 3.5 mpaka 3.0 wanamchukua.

FTC kujiunga degree ilikuwa B. Sasa waweza kujiunga ukiwa na C.

Wafahamisheni ndugu na jamaa....zile za mwanzo zilikuwa noma. Wangekosa wanafunzi baadhi ya vyuo.
Ni kweli lkn vip kuhusu loan board??? au ndo mtu anajilipia mwenyewe isee duuh
 
Kama gpa kubwa ndio kiwango cha uelewa elimu yako haijakusaidia...inawezekana hujapita hata chuo ili kuelewa maana ya gpa.
Serikal inataka kuwabeba beba wasio na akili vyuo vikuu.............................
 
Serikal inataka kuwabeba beba wasio na akili vyuo vikuu.............................
Wewe mwenye akili zimekupeleka wapi, wewe na akili zako umefanya nini mpaka sasa, kuna kitu ulicho gundua?. Sio unasema vitu bila kufikiria
 
Mwendokasi
Kukurupuka
....
....
etc.
 
Serikal inataka kuwabeba beba wasio na akili vyuo vikuu.............................
Kumbukeni wakati vigezo vinawekwa matokeo ya diploma yalikuwa hayajatoka! Baada ya kuwa yametoka nahisi kuna kina "fulani" hawajafikisha 3.5! Hapo tunafanyaje? ni kupanua goli maana hakuna jinsi nyingine!
huo ni mtazamo wangu naweza kuwa nimekosea lakini ndivyo ninavyonusa!
Ni mawazo yangu, na wewe unaweza kuwa na ya kwako.

Nisieleweke vibaya, sipingi GPA kushushwa lakini nina wasi wasi na motive ya kushusha kiwango katikati ya mchakato tena kwa kuwafavour diploma holders tu bila form six wakati wote hao ni wahanga wa janga moja!
Utaratibu mzuri ni kurudisha viwango vya mwaka jana! Kama haiwezekani kurudisha viwango vya mwaka Jana basi vibaki hivi viwango vipya vya 3.5 na kina fulani wazame pia
Kama kuna haja ya mabadilik
o basi yaanzie mwakani huku kila mdau akijua mabadiliko haya kabla mitihani haijafanyika!
 
Hv nikuulize ndugu mbinguni kwetu mtu mwenye GPA ya 3 mpaka 3. 4 hana uwezo darasani? hebu angalia matokeo ya mtu anayeangukia kwenye point nilizotaja halafu utafakar maneno yako. Huko duniani ambako tuna copy kila kitu chao na kuamini wao ndio bora chuo kikuu unaingia kwa point za chini ya 3 na ndo hao walimu wako wengi u dr. wao wameupatia huko Sisi kama nchi kielemu tuko juu kama ule uamuzi hovyo wa mwanzo?
 
Hatimae tena TCU wamebadilisha alama za kujiunga.

Diploma kujiunga bachelor ilikuwa 3.5 sasa imekuwa from 3.5 mpaka 3.0 wanamchukua.

FTC kujiunga degree ilikuwa B. Sasa waweza kujiunga ukiwa na C.

Wafahamisheni ndugu na jamaa....zile za mwanzo zilikuwa noma. Wangekosa wanafunzi baadhi ya vyuo.
Na kwa form four kiomb diploma ikoje?
 
Back
Top Bottom