Walioomba kusoma elimu ya juu Tanzania kupitia TCU(undergraduates 2016)

Hivi hizo updates haziwezi kupandishwa hapa mpaka watu waende kwenye ma group ya Whatsapp ? Group zenyewe ndio sijui ukimsema Magufuli unabebwa kama kuku


Nawaonea huruma wadogo zangu
Group za WhatsApp majungu tu na kukorofishana.....na siku hizi hakuna Uhuru (ukiisema serikali umekwisha) ....Siku hizi group hazina mvuto tena
 
Mkuu mbona sijaungwa kwa group yako nimekutumia fine [HASHTAG]#cheki[/HASHTAG] kwa whatsaap yako buddah
 
Salamu kwa Wote;
Kwa wale form six na Diploma holders mliomba au mnaotarajia kuomba nafasi TCU za kusoma bachelor tukutane hapa tupeane updates na maelekezo zaidi.....
Let's Learn and be informed from others.... Tuma namba yako via 0718 585 555 uwekwe kwa group whatsapp na wenzio wan so sub or is nafasi na mkopo..... Tutatue changamoto zetu bila kuilaumu serikali
je unajua njia zingine za kutatua changamoto bila kuilaumu serikali
 
Loan Board wametoa link watu wameshindwa kuingia... Hahahaha naona mnakuja kwa kasi sasa to join the group..... Tumeni text WhatsApp SIO meseji za kawaida
 
Back
Top Bottom