Wadau please sana naomba mnisaidie katika hili ninahitaji sana kufanikisha kuwasiliana na hawa ndugu zangu,,
anyone everywhere you are please try to help me by asking to any Ngowi you get to know it can help.
WADAU NAOMBA MSAADA WA KUNIJULISHA WALIPO HAWA NDUGU ZANGU HASA CONTACTS ZAO.
Mimi ni mwalimu mstaafu kwasasa, ninaishi Dodoma mjini, leo nimekuja na uhitaji kidogo wadau, kuna ndugu niliopotezana nao ni muda mrefu sana (mwishoni mwa miaka ya sabini), kati ya hao kuna mmoja ambaye...
salute kwako mkuu.... kinachowapata ccm ni kitu ambacho ni ukweli na ndio uhalisia lakini ni ngumu sana kukubali, wanajua umefika wakati wao kufa lakini kukubali na kuandaa kifo chema hawataki wanajaribu kupingana na ukweli. shame on them
CCM walifanya kosa kubwa sana kudhani Mwigulu ana akili, hongereni wale wote mliokua mkidoubt uhalali na umakini wa huyu kijana kupewa nafasi ktk uongozi wa juu wa chama hiki kikongwe kinachoelekea kufa na akina mwigulu wanajitahidi kuwahisha kifo cha chama hiki (ccm) kinachoshangaza kuwepo...
Naam wanajamvi....
Leo nakuja na uzi juu ya mwenendo wa nchi zetu za Africa hasa Tanzania taifa langu, ukifuatilia kwa ukaribu mwenendo wa nchi karibu zote za Africa hasa za Africa magharibi na zote za kusini mwa jangwa la sahara utagundua kuna vitu tunashare in common as Africans, kuna...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.