Recent content by mchina mweusi

  1. mchina mweusi

    Ndesamburo kumrithisha mwanae (Lucy Owenya) Ubunge wa Moshi Mjini 2015!

    Aliyekuloga either kafa au ni kichaa
  2. mchina mweusi

    Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Sasa alianza na kusema kuna majangili wakubwa anawafahamu mmoja ni mfanyabiashara saizi kaja na hii ua uonevu kwa kweli taifa linaelekea kubaya under this guy
  3. mchina mweusi

    CHADEMA, hii ya kubeba jeneza likiwa na jina la mtu aliye hai ni sahihi?

    Hata baba ako atazeeka kama yupo hai atakuea kibabu...uwe na adabu kwa wakubwa wako.
  4. mchina mweusi

    CHADEMA, hii ya kubeba jeneza likiwa na jina la mtu aliye hai ni sahihi?

    Ninyi wenye maneno ya chooni mnaomwita Dr. Slaa kibabu acheni ujinga hata kama humpendi muwe mnajadili hoja na sio kumkashifu mtu....na mnaosema mzinzi nyie ni kina nani katika mahisiano ya ndoa ya Dr. Slaa??ndoa zenu zinawashinda mnakuwa wa kwanza kumjadili mtu.
  5. mchina mweusi

    SHIBUDA: Nimeichoka CHADEMA! Adai kachoshwa na kusemwa na viongozi wa juu

    ushauri wa bure kwa SHIBUDA aondoke tu maana sio lazima akaendelea kukaa alipopachoka.
  6. mchina mweusi

    NAPE: Ziara za Mwigulu Marekani na Uingereza sio za chama

    Ccm warudishiwe kadi alizozigawa kama sio waliomtuma.
  7. mchina mweusi

    Tahadhari:ukabila na ukanda ni propaganda zitakazoliharibu taifa.

    Imekuwa ni kawaida ya viongozi wetu hasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kueneza propaganda kwa watanzania kuwahusisha wapinzani hususan CHADEMA kuwa ni chama cha watu wa kaskazini na chama cha Kikristo!!tena wanaoongea ni viongozi wa chama wakubwa kabisa kama NAPE NNAUYE,SOPHIA SIMBA,WILSON MUKAMA...
  8. mchina mweusi

    Mchungaji: Polisi mkiwapiga risasi na Mabomu hawa wengine watazaliwa!!

    Pastor kaongea ukweli wakimuua mbowe tunainuka akina mbowe 50 lazima wakae.
  9. mchina mweusi

    Revealed: Operation Bomoa CHADEMA Mbeya, Mpango Mzima Episode 1..

    Nimeshirika siasa za mbeya nikiwa katibu wa muda wa baraza la vijana wa CHADEMA,kwa watu wenye misimamo ya kipekee kama nilivyosimama mimi pale kwa kipindi kile shitambala anahama chadema na eddo makata mwamalala tulishamtilia shaka...mimi mwenyewe nilifuatwa na baadhi ya viongozi wa ccm...
  10. mchina mweusi

    Angalia picha kutoka arusha .umati wa watu wajitokeza kwenda kuziika miili ya watu walio kufa katika

    Huwezi kuzuia mafuriko kwa koti la mvua.....aluta continua.
  11. mchina mweusi

    Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

    hahahahaha JESHINI KUNA UZALENDO AU NIDHAMU ZA WOGAA??MAFISADI WA LEO NANI HAJAPITIA HUKO JESHINI,WEZI WOTE WANAOLIIBIA TAIFA HILI HAWAJAPITIA JESHINI?..YEYE KOMBA ANAUZALENDO GANI KWA TANZANIA?WANANCHI WAKE WANAKUFA HUKO YEYE ANAKALIA KUIMBA KYAYA AFU LEO ANAJIFANYA MZALENDO??TUMBO LIMEMZIDI...
  12. mchina mweusi

    Kiti kinaweweseka: Hoja zote binafsi sasa kujadiliwa Bunge lijalo

    Huyu mama anaakili ndogo kama za nyenyere
  13. mchina mweusi

    Kiti kinaweweseka: Hoja zote binafsi sasa kujadiliwa Bunge lijalo

    Huyu mama anaakili ndogo kama za sisimizi (nyenyere)
  14. mchina mweusi

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Hivi ngurue huwa wanachinja waislam?mbona hawa jamaa akili ndogo sana,yaan mibaba mizima eti unaenda kuingilia watu kuchinja?upuuzi huu na haya yote ni matokeo ya serikali ya jakaya kikwete.
  15. mchina mweusi

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Saafi mkuu,hawawezi zuia upepo kwa kiganja
Back
Top Bottom