Recent content by Mchigondo

  1. M

    Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani Dar

    Hata hivyo kwa ujumla wilaya ya UBUNGO imepunjwa. Wangejumusha angalau sehemu ya barabara Ya MBEZI hadi MPIGI MAGOE ili baadae iunganishwe na ya Bagamoyo.
  2. M

    Asubuhi ni muda wa kujadili masuala ya kitaifa/kimataifa kwenye vyombo vya habari (media), sio burudani

    Umeeleza vyema sana. Kwakweli hii imedumaza akili za Watanzania.
  3. M

    TANZIA Naibu Waziri wa Elimu Mstaafu Mzee Nazar Nyoni afariki dunia

    Inaelekea hujui kuwa kabla ya CCM kulikuwa na TANU na ASP ? Apumzike kwa amani Mzee Nyoni. Kila nikikumbuka viongozi wa awamu ya kwanza huwa naguswa sana na uzalendo na uadilifu wao na walivyokuwa wakiitwa NDUGU.
  4. M

    KERO Aliyewapiga mkwara Dawasa Dar please tunaomba nenda Mwanza na mikoa mingine.Tumeona matunda within 24 hours

    Wengi tulikuwa tunashangaa nini kimeikumba DAWASA Kweli wanasikitisha Kama ni hivi tunalo tatizo kubwa kama nchi.
  5. M

    Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini

    Kweli kabisa hawa viongozi wa DAWASA wamesababisha mateso kwa wakazi wa DSM. Wote tulikuwa tunajiuliza:- KULIKONI? Sasa majibu tumeyapata. k
  6. M

    Kwanini mpaka sasa RC wa Dar (Chalamila) hajatumbuliwa na kuwekwa ndani?

    Sasa hapo Chalamila kakosea wapi. Kwani mwizi akivunja nyumba na kuingia ndani unafanyaje ?
  7. M

    Huyu Israel Mbonyi ni Mrwanda kweli?

    Kweli Israel Mbonyi ni msanii mzuri kwani nyimbo zake zina jumbe nzito, zinaliwaza, zinaelimisha, zinaburudisha n. k. Apewe maua yake.
  8. M

    CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Nimeamini kumbe CAG wetu ana akili ndogo sana. Hata dhana nzima ya bima haijui?
  9. M

    Uteuzi na Uhamisho: Rais Samia amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali

    Mayor Quimby umetoa uchambuzi ulioshiba. Kweli kama nchi tumekwama hapa
  10. M

    Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo…

    Mleta uzi ameelezea vyema. Kiuhakika huu mradi ungeweza kuboresha maisha ya watu si wa DSM tu bali Tanzania nzima. Mafanikio yake yangeweza kusambaza ustaarabu si ktk mifumo ya usafiri tu bali hata tabia na uendeshaji wa maisha yetu ya kila siku. Tumepoteza fursa hii ya kutujengea ustaarabu...
  11. M

    Muhimbili yaja na mpango wa dharura kuwahudumia Wanachama wa NHIF

    Sasa mnataka afanyeje katika mazingira kama haya ?
Back
Top Bottom