Recent content by mchemsho

  1. mchemsho

    Rufiji: Wawili wakamatwa na Shehena ya Kopa Tani 7.7 waya za kopa Kilo 2,628.5 7.7 za TRC na TANESCO

    Your comment is a shock. In police administrative perspective hata Yombo inaweza kugawanywa kiutawala ikawa mkoa wa kipolisi, Mkoa wa kikodi kwa TRA, TANESCO e.t c .. Au ulikuwa unatania mkuu
  2. mchemsho

    BBC: Kanisani laomba msamaha kwa ubaguzi enzi za ukoloni dhidi ya weusi

    Dramatically. Mwafrika akimbwa radhi na Mzungu it's a "life time" achievement, kumbe wameona fursa wanataka kupenya upya "Kustaarabu" kufyonza Tena6.
  3. mchemsho

    Nimefika mkoa wa Katavi nimekuta idadi ndogo sana ya wazee

    Labda wengi wao walikuwa na macho mekundu, ndio hivyo tena ikawa hivyo Sasa. Wanajua Wana katavi wenyewe. They can share their "best practices"
  4. mchemsho

    Kwanini magoli kipa wengi wa Taifa stars hutokea Simba?

    Hivi ni kwanini wachezaji wengi wa Taifa stars wanatokea Tanzania?
  5. mchemsho

    Wimbi la vijana kuwa changamoto ya afya ya akili

    Social media zimechangia pakubwa.! Kuna baadhi Wana ujasiri wa kupost na kujipiga picha mostly doctored (edited) wakijionesha wamebeba mabulungutu ya hela, wako mbel6ya ma Mansions na ma super car, Sasa Kwa wenzangu na mie tunaopambania ajira rasmi ili kuokoa familia na ukoo tunapata...
  6. mchemsho

    Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

    Sio TRA ni Bunge ndio linapitisha hizi Kodi. Wakiamua kuzipunguza ili wengi waagize magari na kulipa Kodi kwa wingi inawezekana pia, Ila ndio hivyo tena
  7. mchemsho

    Uvumilivu wa Kidini; Bomu zaidi ya "Nyuklia" kwa Watanzania wengi (eeh Mungu tuepushe)

    Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla. It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF...
  8. mchemsho

    Kama huna Milioni 30 usimtafute Mc Gara B kwenye sherehe yako

    Be MATURED hata kidogo please. Hata kama ni kutafuta comments SIO hivi. ALIULIZWA HIVI:Ili Sherehe iwe nzuri inahitaji budget kiasi gani?? Ndio akasema kama sherehe itakuwa angalau na watu 200 inahitaji total cost ya Sherehe iwe 30M kwa maana ya ku cover kila KITU. Na akalezea venue set up...
  9. mchemsho

    Kama umekaa na namba ya simu kwa miaka 10 na kuendelea, nakupongeza sana!

    Nilisajili namba ya Tigo mara ya Kwanza kuja Dar 2007. Kijijini kwetu ilikuwa ni Airtel tuu kwa kuwa ndio walikuwa wa Kwanza kuwasha mnara. But since then mimi ni mwana Tigo (Live it, Love it) for past 14 years till now na SIJAJUTA.
  10. mchemsho

    Kenyan VP Impeachment in Senate. Kenya is a million miles away in Democrat Practice. Tanzania inahitaji miaka 1000 kufikia kiwango hichi

    Former US President Donald Trump was impeached twice. He survived both. TUSIOGOPE DEMOKRASIA.
  11. mchemsho

    Kenyan VP Impeachment in Senate. Kenya is a million miles away in Democrat Practice. Tanzania inahitaji miaka 1000 kufikia kiwango hichi

    There SHOULD BE A BALANCE OF POWER between PILLARS, not ONE of them FEELING is SUPERIOR than the others. EACH PILLER MUST STAND FOR WHAT IT FEEL BIS OKAY and after that feel SAFE and NOT without fear or INTIMIDATION of (KUBAMBIKIWA KESI, KUFILISIWA, KUTWEKWA, KUTENGULIWA BILA SABABU there...
  12. mchemsho

    Kenyan VP Impeachment in Senate. Kenya is a million miles away in Democrat Practice. Tanzania inahitaji miaka 1000 kufikia kiwango hichi

    Huko utafungiwa wewe NA ukoo wako WOTE na hauna popote3pa kwenda na kustahaki kwa kuwa wote WOTE ni wategemea HURUMA au report za chawa wa NAMBA 1.
  13. mchemsho

    Kenyan VP Impeachment in Senate. Kenya is a million miles away in Democrat Practice. Tanzania inahitaji miaka 1000 kufikia kiwango hichi

    And this should AND MUST BE a general rule if anyone get top position Or AUTHORITY must be subjected to ACCOUNTABILITY or DOUBT to APPOINTMENT
Back
Top Bottom