Recent content by mchefukwa

  1. M

    Sophia Simba: CHADEMA wanatumiwa kuanzisha vita na Mataifa ya nje ili yapate soko la Silaha

    Wahenga walisema akili ni nywele kila mtu anazo....ila wewe una matope ndio maana unatoa hoja finyu kama hii....huo ubaguzi unaouongelea ni wa aina gani? Au ni ulimbukeni wa kucomment?
  2. M

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Ni nchi ngapi zimebaki ili amelizane na dunia?
  3. M

    Zitto Kabwe: Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki

    Siku zote mtu akianza kuzidiwa ndio huwa anaanza vilio, udini umekujaje hapo au znz wana dini?
  4. M

    Zitto Kabwe: Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki

    Sikulaumu maana uliuza kura kwa kanga
  5. M

    Zitto Kabwe: Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki

    Ivi kweli unaweza kufananisha sera na masuala ya katiba? au ni ulimbukeni wa kupost comment?
  6. M

    Mishahara ya SUMATRA kufuru

    Kuwa jf sio lazima upost status ndio maana kuna option ya like post zilizofanyiwa utafiti .....tengua kauli
  7. M

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Ni kweli Haiwezekani watu wanajiita ma engineer alafu hata calculator wanashindwa kutengeneza?
  8. M

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Hii ni hatari ambayo imebakia kidogo ili nyongo ya malipizi itapikwe
Back
Top Bottom